Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Siku hizi naona ndio katrend, kijana anajipangia bei akifika anakata kabisa hii 200k nampa huyu mbwa, ingine room,hii vinywaji.. ila tulipofikia duh🙌
Kwani we ulitakaje, mambo yamerahisishwa we unataka ugumu tena?
 
Legend..! kama mwanamke haujawahi jipanga barabarani, kama haujawahi kujipost telegram kuwa unauza, kama social media zako ziko decent, kama mahali ulipokuwepo you were minding your business, ghafla mtu anakuja kukutongoza ili kesho yake alale na wewe , utashituka nusu upate mfadhaiko wa moyo.

Atoto akiniruhusu, nitakukuta mahali nikupige sound nikakulale ndio utaelewa nilijisikiaje siku hiyo 😂😂😂😂💔 nilisahau Halafu mshenzi msabato 😂😭
Nipo availabo mda wowote nipigwe saund tu😅😅😅hizi ni bahati zinakuja kwa wachache!
 
Legend..! kama mwanamke haujawahi jipanga barabarani, kama haujawahi kujipost telegram kuwa unauza, kama social media zako ziko decent, kama mahali ulipokuwepo you were minding your business, ghafla mtu anakuja kukutongoza ili kesho yake alale na wewe , utashituka nusu upate mfadhaiko wa moyo.

Atoto akiniruhusu, nitakukuta mahali nikupige sound nikakulale ndio utaelewa nilijisikiaje siku hiyo 😂😂😂😂💔 nilisahau Halafu mshenzi msabato 😂😭
Umeongea mpaka nimewaza week kadhaa hapa nilikuwa zangu mtandao hivi, na-accept watu, mara mtu kanipigia nikakata, baadae akanielewesha kwa msg kuwa ni mtz mwenzangu wala hana shida nimtext back, baadae alivyojenga trust niakona sio mtu mbaya na pia ni mtu mzima kdg,basi nikamsikiliza sikuona shida kwakuwa hajanitamkia maneno mabaya, nikaongea naye kwa call aisee, kumbe jamaa yuko marekani anataka kurudi Tz soon ila anatafuta mwanamke wa kuwa naye week nzima na anamlipa kwa siku pesa nzuri tu, ila gharama zote za outings sijui nini ni juu yake! nilijiuliza maswali sana, huyu mtu hanijui simjui, akifika tu day uno tunavuana nguo, halafu ananilipa🤔 kuna kuchinjwa aisee nilishangaa ila sikumuonesha negativity, nikawa namuuliza tu maswali kawaida, katika kuongea akasema unajua huk tz ni rahisi sana kupata mwanamke, ukiwa na pesa tu hukosi mwanamke sijui vitu gani, mimi nikamuuliza kwahiyo imekuwaje mimi hata hunifahamu unaniunganisha kwenye hii biashara? akasema profile yangu haina mambo megi sijui anataka utulivu na bla bla bla kibao, huku kwetu pesa tu unampata mwanamke unayemtaka!. kwakweli simu ilivyokata niliwaza nikaogopa, sijaongea naye tena mimi pia nina tabia ya kujiuliza hayo maswali kama wewe! yaani like kanionaje huyu mtu? why anichague mimi, yani huwa ninachukizwa na hizi mindset za wanaume sio siri! siku nikipata nafasi ya kudeal na viumbe vya kiume sitocheka na kima!😀
 
Sasa mnaconclude waendelee kutumika hovyo tu? ukitafuta vizuri unakutana na aina yako,hujaamua tu mbona wengine wanawapata?
Kinacho tu cost wanaume hatunaga subra ila wanawake wa kuoa ni wapo, nilipo kia Zanzibar nilishangazwa na baadhi ya vibinti kupenda ndoa yani uki mwambia ndoa hapo umemmaliza haitaj hata uwe handsome
 
Mbona comment zako tangu mwanzo naona unatetea hii kasumba ya wanawake wa kisasa ya give sex-get money. Kwamba hiyo sio biashara?
Sijatetea, nimevalidate. Sababu naelewa nini kimetokea hadi wanawake wa kisasa wakawa hivyo.

Kuna siku nilikwambia hivi…. Mimi na wewe hatutengenezi rules, zinatengenezwa!

Mimi naelewa sana, kwanini kinachoendelea kinaendelea, kwanini jamii ipo ambavyo ilivyo, nini kimetufikisha hapa, and stuffs.

Kama mwanamke nina wajibu 2.

1.Kuwaeleza upande wa pili wa shilling, ulimwengu wetu wa kike.

2. kutetea gender yangu kwa kitu nachokiona kiko valid.

Leo Kiranga amenifundisha kitu, kuwa wakisemwa wanawake usilete wanaume, it is whataboutism inayocreate unnecessary gender wars. Jana kwenye ule uzi umenielewesha kuwa nitabishana na kila mtu lakini kimsingi suala la uzazi ni la mwanamke, i get you all, na wengine na wengine.

As a women hatufaidiki na kukaa kimya, hatufaidi na kujitetea vile vile.

Lengo la wanaume ni kuwin katika kila kitu which is okay, we don’t ask much we ask mbadili tabia ili na sisi tukibadili tabia tukutane na nyie mkiwa wema, mnataka tubadili tabia halafu tuwe na akina nani wakati tunaendelea kuharibu kila mtu kwa mentality za kipuuzi?

Kumbe lengo lenu nini, ni kutusema tuuuuu na sio kubadili chochote.

Mmetoa mapendekezo kibao, wanawake tubadilike tuwe independent, tusitake hela za wanaume, tusitoze ushuru kwenye mahusiano na mengine mengi. Walahi sijaona wala sijawahi ona mtu yeyote akishauri wanaume chochote positive, The fact that you people embrace your toxicity instead of trying to get better is seriously alarming!
 
Kinacho tu cost wanaume hatunaga subra ila wanawake wa kuoa ni wapo, nilipo kia Zanzibar nilishangazwa na baadhi ya vibinti kupenda ndoa yani uki mwambia ndoa hapo umemmaliza haitaj hata uwe handsome
sasa hapo mnakwama wapi?
 
Kigezo cha pesa kinafukuza mbwa wengi na kinasaidia sana!
Kuna baadhi ya wadada wanaomba pesa ambazo obviously kwa akili ya kiume unaona huu mzinga hauna ulazima (ila wanakua hawana nia ya kukufukuza) na bado wanaonesha ishara za kutaka kuendelea kuwa kwenye mahusiano Seran
 
Back
Top Bottom