Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Siku hizi naona ndio katrend, kijana anajipangia bei akifika anakata kabisa hii 200k nampa huyu mbwa, ingine room,hii vinywaji.. ila tulipofikia duh🙌
Poleni sana wadada wa mjini wamewazoesha ndio maana wanaona wote ni sawa
 
Poleni sana wadada wa mjini wamewazoesha ndio maana wanaona wote ni sawa
ndio hivyo, hata hivyo nao walizidi mno dharau, unajua kabisa mtu humtaki unaenda jipigia kisha unasepa! Inauma sana hii..
 
Siku hizi naona ndio katrend, kijana anajipangia bei akifika anakata kabisa hii 200k nampa huyu mbwa, ingine room,hii vinywaji.. ila tulipofikia duh🙌
Ku-maintain mahusiano kwa sasa ni stress na gharama kubwa sana kwa mwanaume. Our women turned to something we don't understand. Nawaelewa vizuri kabisa vijana wanaonunua.
 
Ku-maintain mahusiano kwa sasa ni stress na gharama kubwa sana kwa mwanaume. Our women turned to something we don't understand. Nawaelewa vizuri kabisa vijana wanaonunua.
Watafute wanawake waoe, watulie, simple mathematics..
 
kama sina nitoe nini?
Usikubali kuingia kwenye mahusiano. Tafuta hela kwanza. Otherwise kubali kutumika kama chombo cha starehe. Mshapewa haki sawa na fursa zote kama mwanaume. Hamna tena excuse ya kuingia kwenye mahusiano mkiwa masikini
 
Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.

heading na maelezo yako umeyakuza sana kuongeza chumvi. Jamaa alikuwa makini kuto mdharirisha na kudharirisha watanzania. Ila watangazaji ndo walikuwa ana chochea jamaa aende kwenye direction wanayoitaka wao. Ila jamaa kawajibu kwa busara sana.
 
Kwanini wiki vs mwezi? 😂😂😂😂

Huko juu nimemwambia kiranga awaambie wanaume kuwa dating haitakiwi kuhusisha sex, kaniruka kasema nafanya whataboutism! 😅
Nimeweka hivyo makusudi tu😁,

Hapa ndipo dhana nzima ya biashara inapoanza sasa kwa upande wa wanawake, yani kutaka sex iende tit for tat na kupewa pesa, vinginevyo ungeona sawa tu hata sex ikiwa wiki ya kwanza baada ya kukutana na kupewa pesa ikawa ni hata baada ya mwezi.
 
heading na maelezo yako umeyakuza sana kuongeza chumvi. Jamaa alikuwa makini kuto mdharirisha na kudharirisha watanzania. Ila watangazaji ndo walikuwa ana chochea jamaa aende kwenye direction wanayoitaka wao. Ila jamaa kawajibu kwa busara sana.
Sasa wewe huyo jamaa unamjua sana kuliko wao ni ile aibu tu huyu si mgeni ni mwenyeji vibaya ukikaa vibaya hata wewe anakuingiza kingi
 
Kakuonaje? Kaona mwili wako unafaa kwa matumizi ya kusherehekea😅😅😅
Give it to him mfurahie pamoja, questioning your decisions? UmezIngua sio poa😅😅
Legend..! kama mwanamke haujawahi jipanga barabarani, kama haujawahi kujipost telegram kuwa unauza, kama social media zako ziko decent, kama mahali ulipokuwepo you were minding your business, ghafla mtu anakuja kukutongoza ili kesho yake alale na wewe , utashituka nusu upate mfadhaiko wa moyo.

Atoto akiniruhusu, nitakukuta mahali nikupige sound nikakulale ndio utaelewa nilijisikiaje siku hiyo 😂😂😂😂💔 nilisahau Halafu mshenzi msabato 😂😭
 
Usikubali kuingia kwenye mahusiano. Tafuta hela kwanza. Otherwise kubali kutumika kama chombo cha starehe. Mshapewa haki sawa na fursa zote kama mwanaume. Hamna tena excuse ya kuingia kwenye mahusiano mkiwa masikini
Ela isipopatikana je? You are very firm and resistant when it comes to financial matters in relationships, but on other social issues you are quite flexible! hebu jitazame..

Mdogo angu utabishana na kila mtu hapa lakini mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale. Nature haimuhukumu mwanaume na mwanamke kwa kigezo kimoja.

Stay in your lane.
 
Mwanamke bila kumpa hongo hanogi, kwanza halowani vilivyo kule maeneo ya kunako utamu
 
Dada'ake, mimi sikuhizi hata kutoka naona kibarua kama sina sababu ya msingi najifungia ndani na laptop yangu nafanya yanayonihusu! nikitaka kinywaji nanywea ndani.. maana huko nje si mchezo! kuna siku tumetoka marafiki watatu, mmoja wa kiume kaja na rafkiake ambaye alikuwa safarini, sijui aliona nimezubaa ikabidi atafute huko malaya amlete hapo, maana kila akinicheki nakwepa na sitaki mazoea, kumbe anataka alale na mtu kesho aamkie zake chuga, sasa what thaa fvck is that? wanaume wanatudharau sana, kuepusha hiyo trauma huwa sitaki kabisa kukutana na hizi species bora kichache tu!
Na kitachacha kweli! 😂
 
Back
Top Bottom