Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Chakula nayo sio kitu ya kwenda kufanya mapenzi na mtu jameni.

Unajua nchi yetu ina shida sana, sijui kama unakumbuka au ulikuwa mdogo sana enzi tunaambiwa wasichana wengi wanapata mimba kisa kudanganywa na chips mayai 🤦🏻‍♀️
Nilikuwa binti, lakini ajabu mpaka sikuhizi naona bado kuna tetesi kuwa watu wanapewa mimba kisa chips duhh! heri nife njaa kuliko huo ukuda!
 
Kiranga ukija bongo uniletee iPhone 18 toleo jipya la mwaka huu. (Bado haijatoka, mpaka ukija itakuwa tayari) pochi, viatu na perfume 😹😹😹

Nimecheka sana aiseee..!!
Sasa wewe umesema lazima utie timu bongo, ulitaka akukaribishe mgeni mikono mitupu na huko ndo HQ ya dollars jamani..!! 😹😹
Yeye angenambia tu karibu sana bongo na contacts zangu ni hizi, mie ningefunga furushi zuri tu la mizawadi bila hata kuombwa kihivyo, ila alivyofanya mie tayari nishajua hio kei ni mali yangu kwa muda nitakao kaa huko, mitihani sana, teehteehteh.
 
mbuusu mtaani zimepanda bei nasikia mbunye sasa bao 2 300k? wakuu nipeni update maana nilikuwa icu napambania maisha
 
Back
Top Bottom