Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Ukitaka mahusiano yasiyo na return oa mbona simple..!!

Kitendo cha kuomba kei kabla ya ndoa means unataka kuonja ili usepe.
Sasa gharama za uchakavu wa mashine uliyotumia ulitaka alipe nani? 😹
Siku hizi hata usipomuomba mwanamke k utaomba hela tu Kwanza ataanza na hili samahani unaweza kunisaidia bando ukishampa tu bando ni kama vile umefungulia mbwa ataanza kuomba shida zske zingine mara ooh Nina njaa, gas imeisha n.k in short wanawake kwenye suala la kuomba omba ovyo limekuwa ni kama tabia
 
Sikuhizi wanaume wengi wamejanjaruka..unizungushe ivo ili baadae ukikubali nijisome bila kujijua kwenye confession page ya raphee kule insta ukisema ooh mume anahudumia, hana mapungufu makubwa ya kitabia, ila ana sura mbaya naona aibu hata kuongozana nae, kwenye sex ni kama ananibaka Seran
Uwii ila wanawake tunapitia mengi! Kwanini ukavumilie sura mbaya lakini lol🤣
 
Nimpe nini kwa uchoyo? 😹😹😹

Wee mpuuzi kweli..!! Kwahiyo anitumie huku naendelea kumjengea trust ya nini??

Kupanua mnachukulia easy wenyewe 😹

Hivi nyie kutoa kei mnaona simple eti?
Kupelekewa moto mnaona jambo rahisi?

Em jaribu wewe uone 😹😹👌
Nje ya mada, mtafute cocastic ana bahasha yako
 
Uwii ila wanawake tunapitia mengi! Kwanini ukavumilie sura mbaya lakini lol🤣
Kwa sababu wanaume unaowataka hawakutongozi, wakikutongoza wao ni kupiga na kusepa, unaowataka hawana hela ya kukuhudumia unaona ukiolewa nae familia italala njaa, au unaowataka wana mapungufu ya kitabia usioweza ya vumilia.

Hapo kumbuka umri haukusubiri..mtu afanyeje sasa Seran
 
Duhh, kwanini usitafute pesa zako instead ukasubiri huyo mume taratibu! Mimi siwezi kuolewa na mwanaume ilimradi kisa umri, hakuna tuzo huko ndoani, despite the divorce rate is still rising lol 😅
63117C99-8C4B-4790-9CBC-0F60BDAACF83.jpeg
 
Sio dhaifu, asilimia kubwa ya wanawake hawana pesa! na wengi wako chini ya wanaume ndiomaana wanapewa hii title ya kuwa providers, sasa wanawake tutoe pesa ya nini mkuu mbona hivyo? Hatuna pesa wala sio kuwa selfish!
huu mtazamo una upotoshaji mkubwa, i know women with money na bado wanategemea kuwa provided for with their men. utegemezi ni inborn character.
 
huu mtazamo una upotoshaji mkubwa, i know women with money na bado wanategemea kuwa provided for with their men. utegemezi ni inborn character.
hizo ni geresha tu, ila pesa halisi mnazo ninyi 😁
 
Sio kwamba unaombwa ukiomba? Usipoomba watapata wapi mawasiliano na wewe ili wakuombe? Anyway, mambo ni mengi labda zipo namna za kuombwa bila kuomba.
Nilitaka kukutag jana,sijui ulipotelea wapi! tulijua kunyooshwa, wanawake wa2 vs kundi kubwa sana la anti femin. yoda ametuhama tumebaki na mtetezi wewe na mlaji mmoja huko juu 😆
 
Nilitaka kukutag jana,sijui ulipotelea wapi! tulijua kunyooshwa, wanawake wa2 vs kundi kubwa sana la anti femin. yoda ametuhama tumebaki na mtetezi wewe na mlaji mmoja huko juu 😆
Hahaha, Sasa mkishaanza kunitag mtafanya nitolewe kwenye vikao vyetu sababu nawatetea. Tusifike huko.
 
Hahaha, Sasa mkishaanza kunitag mtafanya nitolewe kwenye vikao vyetu sababu nawatetea. Tusifike huko.
Aanh mkuu, wanakutoaje sasa sisi tutapambana wenyewe mpaka lini? Maana hawa vijana hawachekeshi 😅
 
Back
Top Bottom