Aisee! Kwahiyo na lile la 'brother' wamelenga nini?ukiona amelata tabiri ya kifo hapa, ujue wameshamaliza kazi...
ukiona ameleta mbw3mbwe za kuwaponda wanamtandao, ujue ametumwa kusafisha hali na kupata uaminifu...
huyu jamaa ni mtu wao 100%.
Aisee! Kwahiyo na lile la 'brother' wamelenga nini?ukiona amelata tabiri ya kifo hapa, ujue wameshamaliza kazi...
ukiona ameleta mbw3mbwe za kuwaponda wanamtandao, ujue ametumwa kusafisha hali na kupata uaminifu...
huyu jamaa ni mtu wao 100%.
Kwa uelewa wote huo, kwanini Dangote alikuwa anaagiza kutoka S.A mara ya kwanza na kiwanda chake kipo kusini.Chief unisamehe sana, Kuna lugha sipendagi kuziongea kama nikiziongea nikakukwaza unisamehe and God may bless you.
Sasa unaniuliza kazi ya coal kwenye Cement industry? Sio huko tu mpaka power plant ya coal plant ya 50MW...
Kwenye cement factory kuna kitu kinaitwa Kiln, hapo unachoma Red soil + Clushed stones = clinker, clinker + gypsum = cement..
Hapo kwenye kuchoma ndio tunazungumzia sasa coal..
Ukitaka kujenga kiwanda cha Cement nitafute.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
Haya mambo sasa mnazidi kutuchanganya TU... Hii comment Yako kama ni kweli kwamba RA mine yake Bado haijastabilize ukilinganisha na Ruvuma coal mine... Je, attack ya pole2 kwamba RA anafisidi nchi kwa kujimilikisha mgodi wenye makaa ya mawe ya kuvunwa kwa miaka 400! Ni sahihi? Kama ndivyo ilivyo, mgodi wa Ruvuma coal utavunwa kwa miaka mingapi? Na je huu nao unamilikiwa na RA?
Kwa hiyo jamaa anasingiziwa, mkuu Aziz.Chief unisamehe sana, Kuna lugha sipendagi kuziongea kama nikiziongea nikakukwaza unisamehe and God may bless you.
Sasa unaniuliza kazi ya coal kwenye Cement industry? Sio huko tu mpaka power plant ya coal plant ya 50MW...
Kwenye cement factory kuna kitu kinaitwa Kiln, hapo unachoma Red soil + Clushed stones = clinker, clinker + gypsum = cement..
Hapo kwenye kuchoma ndio tunazungumzia sasa coal..
Ukitaka kujenga kiwanda cha Cement nitafute.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
Hiyo mbona iko wazi mkuu...Aisee! Kwahiyo na lile la 'brother' wamelenga nini?
Unatumia Id fek, halafu bado unaogopa hata kuandika Rostam Azizi! Sasa huu sindio woga wa kijinga!!?? Kwa ujinga huu, mabadiriko tutasubiri sana!!Inaonekana rost tamu alimwagia mpaka ndani kabisa akapewa mgodi kwa bei chee maimeni yaan billion 5 mgodi una thamani ya kuchimbwa miaka zaidi ya 400 kweeli kuna waahuni wanajua kumbato sio utani unatoa billion 5 unaingiza zaidi ya billion 500 halafu mama yako anabaki anachekelea tu, ndio maana kuna mtu alisema hii Katiba hii siku akitokea rais Mwendawazimu kichaa Mjinga hana akili ataiuza Nchi yote tena kwa bei ya Hasara kabisa afunge hesabu alale mbele
Kwamba ni kweli wamedhamiria kuachana na bi mdashi?Hiyo mbona iko wazi mkuu...
Aliwahi kuleta uzi humu kuhusu kuanza kwa misheni na akaja kujisifia ilipokamilika...
Good post (though not my reply).Wanasiasa wengi wa Tanzania hawajui mambo mengi kwenye uhalisia zaidi ya maneno ya juu juu ambayo mwisho wa siku yanaleta taharuki kubwa kwenye jamii na mifarakano.
mmiliki wa Ruvuma Coal sio RA na RA hana uhusiano wowote na Ruvuma Coal.
Ruvuma Coal ndio large producer wa coal Kwa sasa, hata hayo malori yanayokwenda Mtwara port 70% ni Ruvuma Coal.
Soko la Makaa ya mawe duniani ni unpredictable maana Dunia inakwenda kwenye green energy na coal huwa inapollute mazingira, ndio investment zake huwa ni kitendawili maana hata Bei Iko chini vs cost/tone production.
Nje ya Europe ambako ndio Kuna bei nzuri na ambao pia wanatoka kwenye matumizi ya coal, wanunuzi wengine ni China, India, Pakistan nk ambako bei ni changamoto sana lakini na wenyewe wanatoka huko.
Coal kwasasa sio sustainable business unless una order tayari mkononi ya volume ya kutosha kama ambavyo Ruvuma Coal alivyo kwa sasa..
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Miaka ile Rostam anatuhumiwa kwa ufisadi ikapelekea kuutema ubunge wa Igunga na Mweka hazina wa CCM ..Baba yako alikuwa hajamdinya Maza wako ili uletwe Duniani ?Rostam hivi,Rostam vile ni dalili ya uvivu pambana na wewe upate
Hawawezi kuachana nae maana ni mwenzao...Kwamba ni kweli wamedhamiria kuachana na bi mdashi?
Sasa mbona ndio haohao wanatumia nguvu na ubabe bi mdashi kuendelea kuwepo?Hiyo mbona iko wazi mkuu...
Aliwahi kuleta uzi humu kuhusu kuanza kwa misheni na akaja kujisifia ilipokamilika...
Questions from an innocent inquirer:Lis.u alitumiwa kama toilet paper jukumu lake lilipoisha ikatakiwa afanyiwe elimination ili jukumu jingine lianze la kumchafua jpiem Mungu alivyo wa ajabu lengo limefail na eliminator wanatumia njia ingine kumzibiti, kama aliedhani mtesi wake keshafariki kwanini bado anateseka kwa njia ingine? Hii inamaanisha mtesi wake bado yupo
Kumbe na wewe umeshaona ujinga tulionao!! Yaani eti anaogopa hata kuandika Rostam Azizi ! anandika rost tam.huu woga wa kijinga utatuisha lini!?Wabongo tutakavyojazana kwenye uzi ufafikiri tuna kitu cha kuwafanya hao mafisadi.
Kwa uelewa wote huo, kwanini Dangote alikuwa anaagiza kutoka S.A mara ya kwanza na kiwanda chake kipo kusini.
Alipolazimisha kununua makaa ya mawe Tanzania; akaomba alete lorry zake kwanza,
Where was, Dangote, business logic on his strategic planning?
Weka namba ya simu uokote chochote kitu wakwetu!!!Kumbe na wewe umeshaona ujinga tulionao!! Yaani eti anaogopa hata kuandika Rostam Azizi ! anandika rost tam.huu woga wa kijinga utatuisha lini!?
kuna mtu amekataa makaa yasichimbwe?Hakuna ambacho hatujawahi kukisikia kuanzia biashara ya makaa ya mawe, Rostam Aziz, Petra Diamond, Symbion Power nk.
Hakuna nchi isiyo na billionaires, na hawa ndiyo wanakuza uchumi na ajira. Tuache wivu tufanye kazi.
Whether kanunua mgodi kwa bei rahisi tusubiri CAG atasemaje. Ila makaa ya mawe hayawezi kubakia Namtumbo kama udongo lazima yachimbwe na yakatumike. Ule siyo udongo kusema utalima mahindi
Sisi wavaa kobaz hatuna kona kona kama nyie wenzetu Wagalatia. Na ndio maana sisi huwezi sikia mtu anajiita nabii akitokea shingo yake tunaigombea.Huwa nawaelewa sana kobaz wanaposema Mwanamke ni mlezi wa familia tu na sio uongozi
Utuhakikishie kwanza ulishawahi kuwa navyo ukavigawa kwakua umeamua kumfuata Kristo otherwise, hiyo ni lugha ya kujifarijiisipokuwa Mimi. ukiyapa nafasi maisha ya rohoni, utabaini haya ya mwilini ni illusion, utayadharau. ni ubatili mtupu
Mbona huwa naingiaga mkuuIngia road