Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Haya ndio ulijiapiza utayaleta!? Ahahahahaha!! Mbona yote haya tunayajua?
 
Nini kifanyike baada ya hili simulizi ?

Kama hakuna kinachobadilika sioni umuhimu wa hizi simulizi maana ni sawa na kumringishia mtu asiye na nauli ya daladala raha ya kusafiri na ndege.
 
Sio kosa lako maana umejaza theory za shule kichwani ujue namna game inapigwa kwenye floor.

Nilichokuandikia ndio fact ya kwenye ground maana hapa unaongea na Guru kwenye hizo medani sio mtoto wa shule.

Unahitaji kujifunza sana namna biashara kubwa na projects kubwa zinavyoendeshwa Vs financial modal zake.

eti ChatGPT hahahaha.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Put it this way, swala lote nimelifikiria kibiashara ndio msingi wa kuona umeandika ujinga na akili bandia ilipo,

Unataka nikuonyeshe ujinga wako ulipo?

I can do that, if you wish.
 
Mwaga vyuma hivyo na rost tam aziz ndio Mmiliki wa Tanzania kwa 100% umesema?
Awamu ya 4 Ndoo ilileta hili Balaa kwa Nchi Yetu. Jamaa yule aliyekuwa ameshika usukani kipindi hicho nadhani ana matatizo ndo maana kipindi kile Mchonga alisema kuwa subili kwanza Akomae wakati alikuwa already ni Kijeba.

Alimaanisha ukomavu wa upstairs, siyo wa mifupa na nyama.
 
kwa mtizamo wako, 'jipya" ni nini
Hakuna ambacho hatujawahi kukisikia kuanzia biashara ya makaa ya mawe, Rostam Aziz, Petra Diamond, Symbion Power nk.

Hakuna nchi isiyo na billionaires, na hawa ndiyo wanakuza uchumi na ajira. Tuache wivu tufanye kazi.

Whether kanunua mgodi kwa bei rahisi tusubiri CAG atasemaje. Ila makaa ya mawe hayawezi kubakia Namtumbo kama udongo lazima yachimbwe na yakatumike. Ule siyo udongo kusema utalima mahindi
 
Hakuna nchi inakosa watu kama Rosti-tamu...hao ndio wanaitwa wajenzi huru wenyewe
Tatizo sio RA, bali serikali ya CCM chini ya uongozi mbovu sana wa Hangaya.

RA ni mfanya biashara, (kununua rahisi iwezekanavyo na kuuza ghali iwezekanavyo).
Kama serikali ya huyu chura kiziwi imeshindwa kumpa bei sahihi inayoendana na mali husika yeye ana kosa gani!
 
Meremeta, Tangold, Kagoda, Liganga na Mchuchuma, Radar, EPA, Ndege ya Rais, IPTL, Richmond, majengo pacha BOT, Escrow, Net proof ya Tanesco nk..

Sidhani kama ukiongelea ufisadi Tanzania utatoka nje ya hapo.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan.
Ewaaaah !

Ndimo watu walimoanza kuutengeneza huo U Don King walionao hivi sasa 😳🤷🏿‍♂️ !

Since Enzi za Mzee wa Stadio de ElPaso 😳🤷🏿‍♂️ !
 
Back
Top Bottom