Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Miaka ile Rostam anatuhumiwa kwa ufisadi ikapelekea kuutema ubunge wa Igunga na Mweka hazina wa CCM ..Baba yako alikuwa hajamdinya Maza wako ili uletwe Duniani ?
Hii ndio mentality ya watu waliofeli maisha,na starehe yako na kujifariji ni kutukana,kuongopa,kusingizia,when people go so down,I go so high
 
Naanza kuamini, huyu mama alitupiga fix nadhani akijua watz woote ni wasahaulifu kwamba angewataja majina wafadhili (mfadhili) wa roho tour ila hajawahi kufanya hivyo hadi leo...kumbe ni king maker mwenyewe!

Huyu mama ni hasara kwa taifa!!.
 
Bila msoga kurip hamna kitu kitafanyika na kama nchi hiyo itasonga mbele! Tumewahi kujiuliza ule mradi wa gesi wa Mtwara pamoja na mabunduki ulianzishwa ni nani anafaidi sasa hivi? Walisema tutapata umeme na kuuza nje, wanauza sasa? Why wakaleta na Stiglers gorge tena kama walisema tuna trillion cubic feets za kutosha miaka zaidi na mia?

Kumbukeni pia mikataba 17 ya lugha ya kikristo ilisainiwa kwa hati ya dharura na kujadiliwa na wabunge wetu ngumbaru ambao hata kiswahili tu hawajui, aliyejua kuisoma angalau asilimia kadhaa ni muhongo tu labda na nzoka lyenge tu! Kalagabaho wabongo, regrets tu kuzaliwa shitholeni, bora Mungu (kama yupo) angetupaga choice tuzaliwe wapi, hivi mtu kama baba alaska anajua hata english ni waziri eti 😛 😛 ? joking though
 
Rostam ni mbwa mwitu katika kundi la kondoo.. wale walioukuwa kwenye kamati ya kuchunguza Richmond wameuliwa na wengine waliishi maisha ya digidigi..William Shelukindo,Harrison Mwakyembe,Stella Manyanya,Lkcas Seleli,na spika Samwel Sita.. hapa watakuja chawa wake anaowalipa kumpambania huyo fisadi watakuambia una wivu wa kimaskini .. pumbavu sn hawa watu...
Seleli mbona yupo tu anahangaika na ukimwi wake!!
 
Huyu mama waliambiwa siyo, jk akakaza kwa maslahi yake binafsi.

"Ipo siku nchi itapigwa mnada" Hayati ndugai
 
Questions from an innocent inquirer:
1) Why Samia alienda kumwona huko Nairobi?

2) Why lile tamko la JPM mbele ya kamati ya madini ya Osoro then muda si mrefu TAL akashambuliwa?

3) Zuio la Bunge kuhusu matibabu ya TAL?

4) Kuzuia TAL asiombewe (sijui kama nimepatia hapa)?

5) Kufutwa ubunge wa TAL?

6) Kutofanyika uchunguzi wa kuridhisha (passive treatment) katika lile tukio?

7) Kutolipwa mafao yake ya ubunge na pesa za matibabu (rejea scandal ya Wenje)?

Nani ni suspect zaidi hapa - serikali ya JPM ama R?

Let's say serikali ilijua nani alimfanyia lile shambulio, lakini wakampuuza TAL kwa sababu waligundua alikuwa akitumika vibaya dhidi ya utawala?

Kwamba shambulio lilifanywa na wale waliomtuma kwa lengo la ku-cover tracks na kuzidi kumchafua JPM?

JPM hakuusoma mchezo huo na kuweza kujisafisha kwa kuanzisha uchunguzi dhidi ya wahalifu halisi - au aliona TAL anastahili alichotendewa hata kama yeye JPM angelaumiwa?

NB: Niseme mm ni pro-JPM hadi kesho kutwa. Najua mengi mengi mno mazuri aliyotenda. I only need honest answers.
Hakuna mtu mwenye subira kama professional sniper ¹anasubiri mistake ndogo sana anajuwa hadi ukipiga muhayo unatumia sekunde ngap na unakuwa na utulivu wa kiasi gani ye risasi yake kufikia kichwa chako.

TAL alikuwa mpingaji mzuri wa Jpm ila je alikuwa peke yake? Hapana kwanini yeye alionekana sana jibu ni kwamba maadui wa jpm waliona huyu TAL tumfanye Scape goat na karata ya pekee tumjaze info kwasababu ni shughuli anayoipenda lengo atumike kwa kafara nzuri.

Kwanini ilitakiwa kifo chake kiwe cha kinyama kiasi kile risasi moja huua mtu kwanini wauwaji walitumia risasi zaid ya moja?
Kama ni Jpiem alikuwa anamuwinda TAl alishindwa kumpoteza kimya kimya bila mtu yoyote kushtuka?

Kwanini itumike harsh elimitor method ili isababishe chaos na ni punde tu Tamko liliposomwa kuhusu yeye lissu kuonekana mpingaji hata katika maswala muhimu. Lakini je Hawakuwa na subira ata lepe kumueliminate kimya kimya au kutumia mbinu ingine ya kumpa kesi ya uhaini kama aliopewa hivi leo?
Kwanini njia ya kinyama itumike tena on time. Hii ndo nabaki kusema lis alikuwa mbuzi wa kafara aliekuwa analishwa majani na watesi wa Jpiem

Ile kafara imefail ilikataliwa na shetani adi Mungu sasa ndo huyu hapa .

Jp kwanini hakuamuwa kujisafisha angejisafisha means kuna mtu angenuka aliamua kumtupia taulo aliamua kukubali lawama zote . Kuhus kufungiwa haki zake na mengineyo TAl ni kuonyeshwa kwamba izo ni gharama za kutumika kama mwanamke asie na akili huvuna ukimwi. Kwa akili za kawaida kabisa mtu umetaka kumuua ikafail alafu bado uendelee kuweka chuki dhidi yake si utagundulika ni wewe sasa Jpiem hakuogopa hilo?

Mwanamke huwa na kiwango cha unafki wa hali ya juu hasa akiwa anamilikiwa na wanaume wawili hakuwa na namna ilimbidi asibase popote .
Lis atakuja ponywa majeraha yake baada ya uchaguzi na atakuwa ameshaujuwa ukweli atalipwa kila kitu chake na hatokuwa na jambo lolote atakaloweza kufanya zaid takuwa anajionea huruma atapewa uteuzi endapo atakubali au aendelee kushupaza shingo

Jpiem aliamuwa kuwafungia wapinzani mikutano yao kwasababu aliona wanatumika vibaya na hovyo na asingefanya ivo wangekuwa kama mbuzi wa kafara watumike kuwagombanisha wananchi na Reis, inajulikana hata uje upinzani kutoka Marekani hauwezi shinda ccm never ilo lipowazi vita alioiamua jpm hakutaka mtu yoyote adhurike ila yeye aliwasave sana wapinzani ila hawakuwa na shukranila. Hii nchi kuwa eliminated ni dk 0 wanakufanya kama senene chakula cha kunguru .unapewa jukumu dogo tu ila linagharimu uhai wako so ufanye upone au usifanye ufe. Unaambiwa tu funga kanisa we unaona kabisa si sahihi ila mkono wako na peni unakuwa ndo maamuzi ya uhai wako.

Mweke huyu ndani mpaka pale utakapopewa maelekezo mengine unaona kabisa hapa si sahihi ila it the matter of dead or alive. Lakini mi najiuliza kwanini watu wanakuwa wabinafsi kwa ajili ya familia zao tu hawajali tena wengine hawatosheki wanatumia gharama kubwa , hilo ni jambo jp alikuwa alipendi na lilimuumiza sana
Naipenda nchi yangu na na mpenda yoyote mwenye mapenz mema na nchi bila kujali jinsia yake
 
Bila msoga kurip hamna kitu kitafanyika na kama nchi hiyo itasonga mbele! Tumewahi kujiuliza ule mradi wa gesi wa Mtwara pamoja na mabunduki ulianzishwa ni nani anafaidi sasa hivi? Walisema tutapata umeme na kuuza nje, wanauza sasa? Why wakaleta na Stiglers gorge tena kama walisema tuna trillion cubic feets za kutosha miaka zaidi na mia?

Kumbukeni pia mikataba 17 ya lugha ya kikristo ilisainiwa kwa hati ya dharura na kujadiliwa na wabunge wetu ngumbaru ambao hata kiswahili tu hawajui, aliyejua kuisoma angalau asilimia kadhaa ni muhongo tu labda na nzoka lyenge tu! Kalagabaho wabongo, regrets tu kuzaliwa shitholeni, bora Mungu (kama yupo) angetupaga choice tuzaliwe wapi, hivi mtu kama baba alaska anajua hata english 😛 😛 ? joking though

ahh wapi, akivuta au hata Trump akimtandika mpersia tu basi kila kitu kinabadilika, hao wengine wote ni wanasesere tu ...
 
Hakuna mtu mwenye subira kama professional sniper ¹anasubiri mistake ndogo sana anajuwa hadi ukipiga muhayo unatumia sekunde ngap na unakuwa na utulivu wa kiasi gani ye risasi yake kufikia kichwa chako.

TAL alikuwa mpingaji mzuri wa Jpm ila je alikuwa peke yake? Hapana kwanini yeye alionekana sana jibu ni kwamba maadui wa jpm waliona huyu TAL tumfanye Scape goat na karata ya pekee tumjaze info kwasababu ni shughuli anayoipenda lengo atumike kwa kafara nzuri.

Kwanini ilitakiwa kifo chake kiwe cha kinyama kiasi kile risasi moja huua mtu kwanini wauwaji walitumia risasi zaid ya moja?
Kama ni Jpiem alikuwa anamuwinda TAl alishindwa kumpoteza kimya kimya bila mtu yoyote kushtuka?

Kwanini itumike harsh elimitor method ili isababishe chaos na ni punde tu Tamko liliposomwa kuhusu yeye lissu kuonekana mpingaji hata katika maswala muhimu. Lakini je Hawakuwa na subira ata lepe kumueliminate kimya kimya au kutumia mbinu ingine ya kumpa kesi ya uhaini kama aliopewa hivi leo?
Kwanini njia ya kinyama itumike tena on time. Hii ndo nabaki kusema lis alikuwa mbuzi wa kafara aliekuwa analishwa majani na watesi wa Jpiem

Ile kafara imefail ilikataliwa na shetani adi Mungu sasa ndo huyu hapa .

Jp kwanini hakuamuwa kujisafisha angejisafisha means kuna mtu angenuka aliamua kumtupia taulo aliamua kukubali lawama zote . Kuhus kufungiwa haki zake na mengineyo TAl ni kuonyeshwa kwamba izo ni gharama za kutumika kama mwanamke asie na akili huvuna ukimwi. Kwa akili za kawaida kabisa mtu umetaka kumuua ikafail alafu bado uendelee kuweka chuki dhidi yake si utagundulika ni wewe sasa Jpiem hakuogopa hilo?

Mwanamke huwa na kiwango cha unafki wa hali ya juu hasa akiwa anamilikiwa na wanaume wawili hakuwa na namna ilimbidi asibase popote .
Lis atakuja ponywa majeraha yake baada ya uchaguzi na atakuwa ameshaujuwa ukweli atalipwa kila kitu chake na hatokuwa na jambo lolote atakaloweza kufanya zaid takuwa anajionea huruma atapewa uteuzi endapo atakubali au aendelee kushupaza shingo

Jpiem aliamuwa kuwafungia wapinzani mikutano yao kwasababu aliona wanatumika vibaya na hovyo na asingefanya ivo wangekuwa kama mbuzi wa kafara watumike kuwagombanisha wananchi na Reis, inajulikana hata uje upinzani kutoka Marekani hauwezi shinda ccm never ilo lipowazi vita alioiamua jpm hakutaka mtu yoyote adhurike ila yeye aliwasave sana wapinzani ila hawakuwa na shukranila. Hii nchi kuwa eliminated ni dk 0 wanakufanya kama senene chakula cha kunguru .unapewa jukumu dogo tu ila linagharimu uhai wako so ufanye upone au usifanye ufe. Unaambiwa tu funga kanisa we unaona kabisa si sahihi ila mkono wako na peni unakuwa ndo maamuzi ya uhai wako.

Mweke huyu ndani mpaka pale utakapopewa maelekezo mengine unaona kabisa hapa si sahihi ila it the matter of dead or alive. Lakini mi najiuliza kwanini watu wanakuwa wabinafsi kwa ajili ya familia zao tu hawajali tena wengine hawatosheki wanatumia gharama kubwa , hilo ni jambo jp alikuwa alipendi na lilimuumiza sana
Naipenda nchi yangu na na mpenda yoyote mwenye mapenz mema na nchi bila kujali jinsia yake

Hope ni speculation tu na imani yako though...
 
Msoga anatakiwa kufa tu, period, otherwise hamna kitu kitafanyika, Rostam sio mwanasiasa ni mfanyabiashara yani anaitiwa mali za makenge na wanasiasa (apedomia syndrome) ili wapate tende na halua (RIP Mtikila) na kama mfanyabiashara yoyote mwingine akiona fursa hawezi kuacha!

Tunazunguka saaaana!
 
Back
Top Bottom