Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Hakuna nchi inakosa watu kama Rosti-tamu...hao ndio wanaitwa wajenzi huru wenyewe
Yan kama Raymond Reddington vile wa Blacklist.
Ni mambo ya kawaida tu haya wala hayaepukiki maadam sera ya Capitalism ni suala mtambuka. Ujanja kuwahi na kupata. Wajanja walishawahi hakuna namna acha watupige tuuuuu mpaka akili zitukae sawa
 
Nini kifanyike baada ya hili simulizi ?

Kama hakuna kinachobadilika sioni umuhimu wa hizi simulizi maana ni sawa na kumringishia mtu asiye na nauli ya daladala raha ya kusafiri na ndege.
Mpaka Polepole atakapo ona Umuhimu wa Katiba mpya ya Nchi ndipo labda kunaweza kuonekana mwanga wa sasa nini kifanyike ili kuirekebisha Nchi !

Polepole kwa sasa yeye ana deal na CCM yake tu ambayo nayo yaelekea imesha mpuuza !
Safari bado ni ndefu 😳🤷🏿‍♂️!
 
Ni mimi tu nashindwa ku access jf bila vpn??
 
Put it this way, swala lote nimelifikiria kibiashara ndio msingi wa kuona umeandika ujinga na akili bandia ilipo,

Unataka nikuonyeshe ujinga wako ulipo?

I am too if you wish.

Chief sina lakujifunza kwako katika hili.
Nina uhakika unajua nadharia tu, na mimi najua nadharia + ground side ya business husika nikiintergrate tutabishana tu.

Ninajua cost analysis yote ya hiyo biashara, na ninajua financial modeling ya mining business, oil and gas, power generation na Engineering side zake , sio nadharia naongelea vitendo baharini na ardhini.

sasa ukija na finance + accountant degree sijui ya IFM na UDSM sijui Mzumbe na hauna exposure yeyote kwenye hivyo viwanja tutabishana tu hapa mpaka asubuhi.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
 
Mpaka Polepole atakapo ona Umuhimu wa Katiba mpya ya Nchi ndipo labda kunaweza kuonekana mwanga wa sasa nini kifanyike ili kuirekebisha Nchi !

Polepole kwa sasa yeye ana deal na CCM yake tu ambayo nayo yaelekea imesha mpuuza !
Safari bado ni ndefu 😳🤷🏿‍♂️!
Watz hawahitaji mabadiliko ila wanahitaji story za mabadiliko ili wawe wanajadili kwenye social midia.
 
Na anahusishwa kwa 100% na kifo cha Jiwe !
Kifo cha mwendazake ilikuwa uzembe wa maofisa wetu wa ikulu isee yaani mnaona kabisa watu wanapuputika sababu ya corona then mnamwachia mkuu afanye dhiara zza hadharani kizembe vile na ilhali ni mgonjwa wa moyo.

Ule uzembe ulipaswa watu wa idara washitakiwe ili ife funzo.
 
Back
Top Bottom