Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,058
- 134,399
Upo sehemu nzuri mkuu? Jifiche kabisa
With ChatGPT life seems easy.Quality and price Mzee.
Coal ya Tanzania Ina moisture content kubwa, cost ya SA price ni ndogo.
Cost/tone production SA Iko Chini sana wanatumia surface miners kwenye mining zao na sio excavation.
Wagons zinareduce production kubwa na zinabeba mzigo mkubwa kutoka Mpumalanga to Richard bay.
Dangote alitaja apewe kitalu chake cha makaa achimbe mwenyewe na asombe mwenyewe.
Tafsiri afanye mining auze coal pia, kumbuka ana cement factory Zambia na Ethiopia pia.
Akiuza na kutumia mwenyewe ingeweza kumpa balance
Plant yake ya Mtwara ni 5000t/day ndio largest producer akifatiwa na twiga na Tanga 4000t/d, sina uhakika na Xinhua Kwa sasa pale Tanga.
Hata Tanzania tungekuwa wajanja tulipaswa kutandika reli kutoka pale Luanda/Kitai to Mtwara port, maana yake malori yasingetumika ingekuwa wagons tu to Mtwara port.
Ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
Mzee ume komaa na Chat Gpt kama una jua vitu si ushushe Nondo unazo zijua ww tupate kuongeza maarifa.With ChatGPT life seems easy.
Mimi kwa kukusoma najua una uelewa wa biashara in generał.
Ndio maana nimekupa ushindi.
Sasa usilazimishe debate ambayo, una uelewa logical thinking zake.
With ChatGPT life seems easy.
Mimi kwa kukusoma najua una uelewa wa biashara in generał.
Ndio maana nimekupa ushindi.
Sasa usilazimishe debate ambayo, una uelewa logical thinking zake.
Deep down you know the truth, uwezo wako ni mambo ya kutoka kichwani kwako na akili mnemba.
It’s obvious.
Duh,Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao
Mnahangaika sana, Samia yupo mpaka 2030. Aliyoyafanya huko mikoani yanatosha kabisa kumrudisha ikulu.
Hizi story za kijiweni za kimbea hazina tofauti na yote anayoyaongea Mange Kimambi, maneno ya kufurahisha baraza.
Huo ndiyo ukweli ingawa kwa Lisu Mbowe na yeye anashabikia Lisu afie jela apate kurejea chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUFAlipo RA na JK yupo kwa 100%
Wanatuibia makaa ya mawe na kututo...ea watoto wetu,aisee!Ndio hayo hayo😀
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu?
Rostam Aziz Yupo juu ya Sheria hakuna wa kumzuia chochote kwa TanzaniaHuyu jangili kwa kweli inabidi akamatwe tu maana anaifilisi nchi mno.
Bila Rostam kutoa Amri ataozea jela ingawa Mbowe na yeye hataki Lisu atoke jela ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUFKwa hiyo Lissu ataachiwa kwa Maelekezo ya Rostam?
Mimi na wewe tupo kwa mtogole tukihitajika tunapatikana.Upo sehemu nzuri mkuu? Jifiche kabisa