Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

We jamaa utakuwa ndiye Hamphrey Polepole sio bure,kwa nondo hizi mtu wa kawaida hawezi kuzijua. lakini unatoa hizi nondo kwa faida ya nani na kwa nini?
Slow slow tangu alivyodhangilia LM kukatwa jina na msajili nimegundua na yeye ni inside project...Wapo ku raise adrenaline za watu kumbe ni wale wale in different facests...Inamaana hii inahakikishia mtu kutokuwa na risk hata 5%
 
Kifo cha mwendazake ilikuwa uzembe wa maofisa wetu wa ikulu isee yaani mnaona kabisa watu wanapuputika sababu ya corona then mnamwachia mkuu afanye dhiara zza hadharani kizembe vile na ilhali ni mgonjwa wa moyo.

Ule uzembe ulipaswa watu wa idara washitakiwe ili ife funzo.
Kama walimshauri akakataa?
 
Chief sina lakujifunza kwako katika hili.
Nina uhakika unajua nadharia tu, na mimi najua nadharia + ground side ya business husika nikiintergrate tutabishana tu.

Ninajua cost analysis yote ya hiyo biashara, na ninajua financial modeling ya mining business, oil and gas, power generation na Engineering side zake , sio nadharia naongelea vitendo baharini na ardhini.

sasa ukija na finance + accountant degree sijui ya IFM na UDSM sijui Mzumbe na hauna exposure yeyote kwenye hivyo viwanja tutabishana tu hapa mpaka asubuhi.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
Huku kijijini kwetu wakati tunasoma tulikuwa hawataki nadharia bali andika kwa case study husika.

Walimu wa kijijini kwetu wanaamini njia pekee ya kutanua akili ni kwa kutumia mifano hai.

Wewe unajiandikia tu pumba, nilikuahidi unaandika pumba. Tuanze hapa;

Bambuli Cement (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Arthi River (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Hiyo ni mifano yako, I am only wasting my time to show how stupid you are.

It’s not my wish, but it’s what you want.

Mimi nishajua umetumia akili bandia katika mambo ambayo huna uelewa nayo; Iła unataka ubishi tu.

I am happy to show you unatumia akili bandia.
 
Put it this way, swala lote nimelifikiria kibiashara ndio msingi wa kuona umeandika ujinga na akili bandia ilipo,

Unataka nikuonyeshe ujinga wako ulipo?

I can do that, if you wish.
Una bla bla nyingi sana,mkuu.

Onyesha kwa vitendo mahala ambapo Nangu Nyau ameandika ujinga. Watu wanafatilia.

Vinginevyo unafanya ad hominem fallacy...unamshambulia mtoa hoja badala ya kuishambulia hoja yake.
 
Rosti
Tamu
Laazizi
Kutoka mitaa ya Mwamala mwakarundi karibu na mitaa ya Isagenhe na Bukene - Itobo kuelekea Nzega kwa akina Kigwangala mbunge msitahafu 🤣🤣👏 🤷🏿‍♂️ !

Acha mchezo kabisa 😀😂😂 haya maisha haya we acha tu ! Na Mimi ningekuwa kibopa kama ningezichanga vizuri karata zangu ! 😳 !
 
Kwa hiyo Lissu ataachiwa kwa Maelekezo ya Rostam?
Hana madhara tena, mission completed..Ataachiwa atazunguka zunguka kutujaza adrenaline, mataifa yatajidai kuwa wako concerned kumbe wao ndiyo ma engineer then back to the same style of life like Jana Leo na kesho....Tanzania njema is a must project, I believe in Jesus Christ of Nazareth!
 
Yan kama Raymond Reddington vile wa Blacklist.
Ni mambo ya kawaida tu haya wala hayaepukiki maadam sera ya Capitalism ni suala mtambuka. Ujanja kuwahi na kupata. Wajanja walishawahi hakuna namna acha watupige tuuuuu mpaka akili zitukae sawa

Yup yup...that's how the world spins

Rais yeyote mahali popote kwenye ardhi iliyo na resources huwa anawekwa madarakani na kikundi kidogo sana cha mabepari, ndio jamii za hao kina Rosti tamu...

Asingekuwepo Rosti tamu & co basi wangekuwepo wengine, na hata huyo Rosti tamu naye akilemaa tu ufalme utatekwa na wengine...
 
Tatizo sio RA, bali serikali ya CCM chini ya uongozi mbovu sana wa Hangaya.

RA ni mfanya biashara, (kununua rahisi iwezekanavyo na kuuza ghali iwezekanavyo).
Kama serikali ya huyu chura kiziwi imeshindwa kumpa bei sahihi inayoendana na mali husika yeye ana kosa gani!

Upo sahihi kabisa...

Lakini sasa marais hawa huwekwa kwenye mamlaka na hao hao wanunuzi...

Umeona vitu kama harambee ya CCM juzi juzi hapa, wale ni mfano wa mabepari wanaoweka marais ikulu...

Kwa JPM it was a different ball game, and this's what i think, mabepari wenyewe waligeukana na kumtosa Edo au waligeukwa na mzee wa Msoga akawasukumia kete nyeusi ya JPM lakini kwa nguvu waliyonayo, JPM had to be eliminated maana checkers game was not in their favor...
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Rostam hivi,Rostam vile ni dalili ya uvivu pambana na wewe upate
 
Una bla bla nyingi sana,mkuu.

Onyesha kwa vitendo mahala ambapo Nangu Nyau ameandika ujinga. Watu wanafatilia.

Vinginevyo unafanya ad hominem fallacy...unamshambulia mtoa hoja badala ya kuishambulia hoja yake.
Mjibie hoja; anazoweka.

I don’t have time for him akitulia; kiherehere chake na chako kwa sasa.

Like how many times, have I to stated; don’t quote me kwa akili za kutoka kichwani kako tu.

Hayo sio majigambo; ni standard of educated debates kwa elimu ya vijijini.

Uwezi kujiandikia ujinga tu kama Kafulila.
 
Back
Top Bottom