Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Mnunuzi Mkubwa wa Makaa ya Mawe Kenya ni Bambuli Cement Mombasa na Athi river Nairobi.

Monthly consumption yao ya Makaa ya Mawe ni ndogo sana kiasi cha kutoa meli Mtwara uipeleke Mombasa.
Kumbuka Bandari iko Mtwara Makaa yapo Songea -500-600km, loading and offloading, ukifika Mombasa port uanze kuoffload na kupakia kwenye malori tena, nk.
Bado Mombasa port waandae facility ya kushushia coal nk.

Hizi hesabu zilishafanyika, ikaoekana sio economical, ndio maana unaona hayo malori yanatembea kwenda MSA na NRB.
aim ya kila operation ni kurun at low cost, sidhani kama kungekuwa na opportunity ya kupunguza cost basi Bamburi na Athi river wasingeitumia.
Kumbuka pia Mombasa port hakuna terminal ya makaa maana yake lazima ijengwe, sasa ni economic kuijenga kwa kupokea meli ya 5000tone monthly?

SA large volume ya Coal inasafirishwa kutoka Mpulanga to Richard bay kwenye wagons kwa ajili ya exportation, pale Richard bay port kuna coal terminal maarufu inaitwa RBCT. Lengo ilikuwa kuondoa cost za malori maana volume ni kubwa na production ni kubwa na zipo dedicated berth pale Richard bay kwa ajili ya Coal tu maana mzigo ni mkubwa.

Kiasi kikubwa cha Coal ya Tanzania ni export nje ya EA na largest producer wa coal ni Ruvuma coal, akifuatiwa kwa mbali na Jitegemee, RA- Taifa mining bado wanasuasua kwenye production.
Moja ya changamoto ya coal ya Tanzania ni market kwasababu ya high moisture contents.
Kwasasa Ulaya wanastock kiasi kikubwa cha Coal Kwa ajili ya power generation incase Russia akizingua, supplier wao mkubwa kutoka Tanzania ni Ruvuma Coal.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Nakubali jasusi umeshusha Nondo zilizo nyooka
 
Umeniquote "wewe" ukiwa unamaanisha Mimi ndiye huyo member uliyekuwa unamshambulia?

Ninachoona kutoka kwako ni ego tu na kushambulia watu,lakini huna hoja ya maana.

Malizana na huyo mwenzio. Mimi Sina muda wa kujibizana na watu wa aina yako.
OK (if it makes you happy) lakini hakuna mahali mimi nime ku-quote wa kwanza.

Labda uwe mod, uchakachue; vinginevyo sina hiyo sababu.

I quote people rarely in JF (na wengi wao kama kwa kubishana ni long time members) I don’t do that often; note people’s habit.

Sio kila mtu anapenda mazoea humu, mengine yapo vichwani kwenu tu.
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Kweny kigoda nasikilizia hapa jinsi kupe hizi akina Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao, chiembe, wanavyosonya!!
 
Usisahu na kutuambiwa aliyempiga risasi Lissu. Maana yeye alijua ni magufuli.
Lis.u alitumiwa kama toilet paper jukumu lake lilipoisha ikatakiwa afanyiwe elimination ili jukumu jingine lianze la kumchafua jpiem Mungu alivyo wa ajabu lengo limefail na eliminator wanatumia njia ingine kumzibiti, kama aliedhani mtesi wake keshafariki kwanini bado anateseka kwa njia ingine? Hii inamaanisha mtesi wake bado yupo
 
Lis.u alitumiwa kama toilet paper jukumu lake lilipoisha ikatakiwa afanyiwe elimination ili jukumu jingine lianze la kumchafua jpiem Mungu alivyo wa ajabu lengo limefail na eliminator wanatumia njia ingine kumzibiti, kama aliedhani mtesi wake keshafariki kwanini bado anateseka kwa njia ingine? Hii inamaanisha mtesi wake bado yupo
Hii issue itamtesa sana
 
Biashara ya makaa ya mawe haina hela vile, kama unauza kwa bei ya soko.

Hela hapo inapigwa kwenye usafirishaji (especially kama usafiri wenyewe ni wa ma-lorry), serikali haiwezi pata kitu cha maana baada kulipia gharama za usafiri.

Ni sawa na kugawa mgodi bure tu; au watu kujichotea tu makaa.
Biashara zote kubwa duniani faida zake ni ndogo sana ila wanafaidika ni wanauza mzigo mkubwa sokoni hapo ndo faida inapopatikana

Hata ukienda kwenye crude oil refinery faida yake ni ndogo sana ila anayefaidika ni yule anayeshafisha mafuta mengi

Hata kwenye biashara ya makaa ya mawe faida inapatikana kwa anayeuza mzigo mkubwa
 
Huku kijijini kwetu wakati tunasoma tulikuwa hawataki nadharia bali andika kwa case study husika.

Walimu wa kijijini kwetu wanaamini njia pekee ya kutanua akili ni kwa kutumia mifano hai.

Wewe unajiandikia tu pumba, nilikuahidi unaandika pumba. Tuanze hapa;

Bambuli Cement (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Arthi River (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Hiyo ni mifano yako, I am only wasting my time to show how stupid you are.

It’s not my wish, but it’s what you want.

Mimi nishajua umetumia akili bandia katika mambo ambayo huna uelewa nayo; Iła unataka ubishi tu.

I am happy to show you unatumia akili bandia.

Chief unisamehe sana, Kuna lugha sipendagi kuziongea kama nikiziongea nikakukwaza unisamehe and God may bless you.

Sasa unaniuliza kazi ya coal kwenye Cement industry? Sio huko tu mpaka power plant ya coal plant ya 50MW...

Kwenye cement factory kuna kitu kinaitwa Kiln, hapo unachoma Red soil + Clushed stones = clinker, clinker + gypsum = cement..
Hapo kwenye kuchoma ndio tunazungumzia sasa coal..

Ukitaka kujenga kiwanda cha Cement nitafute.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
 
OK (if it makes you happy) lakini hakuna mahali mimi nime ku-quote wa kwanza.

Labda uwe mod, uchakachue; vinginevyo sina hiyo sababu.

I quote people rarely in JF (na wengi wao kama kwa kubishana ni long time members) I don’t do that often; note people’s habit.

Sio kila mtu anapenda mazoea humu, mengine yapo vichwani kwenu tu.
Wewe unayefahamu kwa kina ungeetuelimisha sisi badala ya kubishana na hao
 
Mnahangaika sana, Samia yupo mpaka 2030. Aliyoyafanya huko mikoani yanatosha kabisa kumrudisha ikulu.

Hizi story za kijiweni za kimbea hazina tofauti na yote anayoyaongea Mange Kimambi, maneno ya kufurahisha baraza.
 
Back
Top Bottom