Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Sasa hili daladala la Pugu Kariakoo limerudi! Mbona madeiwaka wengi sasa, tutafika?
Eti na Lucasi Mwashambwa naye yumo.
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Ulisema Mwezi wa 7 kutatokea Msiba Mzito,
Vipi tuendelee kusubiri????
 
Huu ushafika mwezi wa 9 zile raamli chonganishi zimeshapita trh 28 hii hapa Wakatoriki washafunga NOVENA kumekisensi na wao wanaenda kuzindua pale kwenye kilinge chao chenye majini wengi Kawe kwa hio kumaanisha kwamba Mungu wa Catholic km anaweza apambanee na Majini
 
Usione askari polisi wakiwa wakali dhidi ya wananchi kule Kisutu wakati wa kesi ya AL. Hiyo posho wanayopewa (nadhani inatoka direct from RA) ni kufuru.

Tunaumizana wenyewe kwa wenyewe kwa maslahi ya RA.

Katuga kwa sasa hana shida ndogondogo.
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
HHii ni stori iliyo straight, hakuna makona kona hapa.
Hebu endelea.

Wakati huo huo, nami najaribu kuwaza, hivi ilikuwa kuwaje huyu huyu Aziz kaweza kumwingia Magufuli; hata kama ilikuwa kwa mbinde hapo mwanzo!

Na mwisho. Huyu fisadi papa inabidi aanze kuhesabu siku zake. Tanzania inayo kuja haina nafasi ya upumbavu wa namna hii.
 
Back
Top Bottom