Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

HHii ni stori iliyo straight, hakuna makona kona hapa.
Hebu endelea.

Wakati huo huo, nami najaribu kuwaza, hivi ilikuwa kuwaje huyu huyu Aziz kaweza kumwingia Magufuli; hata kama ilikuwa kwa mbinde hapo mwanzo!

Na mwisho. Huyu fisadi papa inabidi aanze kuhesabu siku zake. Tanzania inayo kuja haina nafasi ya upumbavu wa namna hii.
Na anahusishwa kwa 100% na kifo cha Jiwe !
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Huyu jangili kwa kweli inabidi akamatwe tu maana anaifilisi nchi mno.
 
HHii ni stori iliyo straight, hakuna makona kona hapa.
Hebu endelea.

Wakati huo huo, nami najaribu kuwaza, hivi ilikuwa kuwaje huyu huyu Aziz kaweza kumwingia Magufuli; hata kama ilikuwa kwa mbinde hapo mwanzo!

Na mwisho. Huyu fisadi papa inabidi aanze kuhesabu siku zake. Tanzania inayo kuja haina nafasi ya upumbavu wa namna hii.
kumbe obama na rostam wanashirikiana maana nachojua symbion ni ya wamarekani na obama alikuja 2013 kuizindua kwa kucheza mpira na jk hapa ubungo karibu na mto gide
 
Biashara ya makaa ya mawe haina hela vile, kama unauza kwa bei ya soko.

Hela hapo inapigwa kwenye usafirishaji (especially kama usafiri wenyewe ni wa ma-lorry), serikali haiwezi pata kitu cha maana baada kulipia gharama za usafiri.

Ni sawa na kugawa mgodi bure tu; au watu kujichotea tu makaa.
Hivi malori yenyewe sio ndio haya yanayopita Great North Road ,na yanatuharibia mabinti zetu wa Babati ,Namanga,Chemba,Mtera,Ifunda,Ifunda,Makambako..
 
HHii ni stori iliyo straight, hakuna makona kona hapa.
Hebu endelea.

Wakati huo huo, nami najaribu kuwaza, hivi ilikuwa kuwaje huyu huyu Aziz kaweza kumwingia Magufuli; hata kama ilikuwa kwa mbinde hapo mwanzo!

Na mwisho. Huyu fisadi papa inabidi aanze kuhesabu siku zake. Tanzania inayo kuja haina nafasi ya upumbavu wa namna hii.
Penye ujinga hata Panya anaweza mla Paka!
 
Hivi malori yenyewe sio ndio haya yanayopita Great North Road ,na yanatuharibia mabinti zetu wa Babati ,Namanga,Chemba,Mtera,Ifunda,Ifunda,Makambako..
Mwanzo sikuelewa (ilikuwa kwenye mada nyingine) na sikutaka kuamini mtu anaweza toa makaa ya mawe kusini mwa Tanzania mpaka Kenya; wakati Mtwara kuna bandari.

Imechukua muda kuelewa, lengo sio biashara bali kuchota tu hayo makaa faida inaishia kwenye operational costs. It ‘mąkę sense’ biashara ilipo.

Lakini hawa watu dah
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Tupo live
 
Back
Top Bottom