Mwanzo sikuelewa (ilikuwa kwenye mada nyingine) na sikutaka kuamini mtu anaweza toa makaa ya mawe kusini mwa Tanzania mpaka Kenya; wakati Mtwara kuna bandari.
Imechukua muda kuelewa, lengo sio biashara bali kuchota tu hayo makaa faida inaishia kwenye operational costs. It ‘mąkę sense’ biashara ilipo.
Lakini hawa watu dah
Ndio hayo hayo😀Hivi malori yenyewe sio ndio haya yanayopita Great North Road ,na yanatuharibia mabinti zetu wa Babati ,Namanga,Chemba,Mtera,Ifunda,Ifunda,Makambako..
Kuna uzi wa zamani kidogo uliokuwa unawaelezea wanamtandao ulimtaja Rostam kuwa ni CIA agent.kumbe obama na rostam wanashirikiana maana nachojua symbion ni ya wamarekani na obama alikuja 2013 kuizindua kwa kucheza mpira na jk hapa ubungo karibu na mto gide
Kweli uzi ujao utakuwa honey trap!....imeanza kuchoka...
Njoo na strategic business arguments based on educated knowledge; sio ku-Google akili bandia.Mnunuzi Mkubwa wa Makaa ya Mawe Kenya ni Bambuli Cement Mombasa na Athi river Nairobi.
Monthly consumption yao ya Makaa ya Mawe ni ndogo sana kiasi cha kutoa meli Mtwara uipeleke Mombasa.
Kumbuka Bandari iko Mtwara Makaa yapo Songea -500-600km, loading and offloading, ukifika Mombasa port uanze kuoffload na kupakia kwenye malori tena, nk.
Bado Mombasa port waandae facility ya kushushia coal nk.
Hizi hesabu zilishafanyika, ikaoekana sio economical, ndio maana unaona hayo malori yanatembea kwenda MSA na NRB.
aim ya kila operation ni kurun at low cost, sidhani kama kungekuwa na opportunity ya kupunguza cost basi Bamburi na Athi river wasingeitumia.
Kumbuka pia Mombasa port hakuna terminal ya makaa maana yake lazima ijengwe, sasa ni economic kuijenga kwa kupokea meli ya 5000tone monthly?
SA large volume ya Coal inasafirishwa kutoka Mpulanga to Richard bay kwenye wagons kwa ajili ya exportation, pale Richard bay port kuna coal terminal maarufu inaitwa RBCT. Lengo ilikuwa kuondoa cost za malori maana volume ni kubwa na production ni kubwa na zipo dedicated berth pale Richard bay kwa ajili ya Coal tu maana mzigo ni mkubwa.
Kiasi kikubwa cha Coal ya Tanzania ni export nje ya EA na largest producer wa coal ni Ruvuma coal, akifuatiwa kwa mbali na Jitegemee, RA- Taifa mining bado wanasuasua kwenye production.
Moja ya changamoto ya coal ya Tanzania ni market kwasababu ya high moisture contents.
Kwasasa Ulaya wanastock kiasi kikubwa cha Coal Kwa ajili ya power generation incase Russia akizingua, supplier wao mkubwa kutoka Tanzania ni Ruvuma Coal.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Hiyo kwa wakongwe inajulikana long time ago 😳🤷🏿♂️Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
hii ndiyo ulisema nchi itapasuka? Mbona kila kitu kiko wazi siku nyingi. Nilidhani tutaamka na traore kumbe ni hzi story za miaka yoteRichmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Polepole sijamsikia akiigusia hii Katiba iliyopo na mazonge yake 😳🤷🏿♂️ !Inaonekana rost tamu alimwagia mpaka ndani kabisa akapewa mgodi kwa bei chee maimeni yaan billion 5 mgodi una thamani ya kuchimbwa miaka zaidi ya 400 kweeli kuna waahuni wanajua kumbato sio utani unatoa billion 5 unaingiza zaidi ya billion 500 halafu mama yako anabaki anachekelea tu, ndio maana kuna mtu alisema hii Katiba hii siku akitokea rais Mwendawazimu kichaa Mjinga hana akili ataiuza Nchi yote tena kwa bei ya Hasara kabisa afunge hesabu alale mbele
toa neno mkuu , mambo yanazidi kuwa mengiOkay.
Njoo na strategic business arguments based on educated knowledge; sio ku-Google akili bandia.
Matokeo yake unaandika vitu ambavyo havina kichwa wala miguu.
Sio kila mtu anamuda wa kujibu upuuzi humu ambao entirely from ChatGPT, ukienda shule you can tell the nonsense.
Ujinga mtupu ulichoandika.
isipokuwa Mimi. ukiyapa nafasi maisha ya rohoni, utabaini haya ya mwilini ni illusion, utayadharau. ni ubatili mtupuIla jamani waafrika ni waroho wa mali na madaraka, najua hata mimi nikipata chance naweza kuwa kama wao coz hiyo ni roho chafu ya mtu mweusi, kulimbikiza mali.