Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Mjibie hoja; anazoweka.

I don’t have time for him akitulia; kiherehere chake na chako kwa sasa.

Like how many times, have I to state; don’t quote me kwa akili za kutoka kichwani kako tu.

Hayo sio majigambo; ni standard of educated debates kwa elimu ya vijijini.

Uwezi kujiandikia ujinga tu kama Kafulila.
Bado hujajibu hoja yoyote hapa.

Unazidi kutoka kwenye lane kwa maneno mengi yasiyo na maana.

Kiingereza kingi kisicho na maana hakitasaidia chochote. Jibu hoja za Nangu Nyau
 
ukiona amelata tabiri ya kifo hapa, ujue wameshamaliza kazi...

ukiona ameleta mbw3mbwe za kuwaponda wanamtandao, ujue ametumwa kusafisha hali na kupata uaminifu...

huyu jamaa ni mtu wao 100%.
Sure kabisa . Na hata kama hayuko kitengoni per se lazima atakuwa na access na humo au kuna mtu wa humo anampa abcd
 
Katika nchi ambayo kila mtu ni mla rushwa ni rahisi sana kuwa na rais zaidi ya mmoja. Na yule usiyemjua ndio mwenye nguvu.
In every great fortune there's crime. Balzac
 
Bado hujajibu hoja yoyote hapa.

Unazidi kutoka kwenye lane kwa maneno mengi yasiyo na maana.

Kiingereza kingi kisicho na maana hakitasaidia chochote. Jibu hoja za Nangu Nyau
Wewe unajiandikia tu pumba, nilikuahidi unaandika pumba. Tuanze hapa;

Bambuli Cement (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Arthi River (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Hiyo ni mifano yako, I am only wasting my time to show how stupid you are.

It’s not my wish, but it’s what you want.

Mimi nishajua umetumia akili bandia katika mambo ambayo huna uelewa nayo; Iła unataka ubishi tu.

I am happy to show you unatumia akili bandia

……………………
Muhusika ajajibu hiyo post (umeibuka) wewe from nowhere kuandika ujinga.

This is why sipendi mazoea na watu wa chit-chat; kwenye vichwa vyao we all live in their stupidity land.

Sorry members wa jukwaa la siasa (wakongwe).

👋
 
Wewe unajiandikia tu pumba, nilikuahidi unaandika pumba. Tuanze hapa;

Bambuli Cement (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Arthi River (wananunua makaa ya mawe kwa shuguli gani).

Hiyo ni mifano yako, I am only wasting my time to show how stupid you are.

It’s not my wish, but it’s what you want.

Mimi nishajua umetumia akili bandia katika mambo ambayo huna uelewa nayo; Iła unataka ubishi tu.

I am happy to show you unatumia akili bandia

……………………
Muhusika ajajibu hiyo post (umeibuka) wewe from nowhere kuandika ujinga.

This is why sipendi mazoea na watu wa chit-chat; kwenye vichwa vyao we all live in their stupidity land.

Sorry members wa jukwaa la siasa (wakongwe).

👋
Umeniquote "wewe" ukiwa unamaanisha Mimi ndiye huyo member uliyekuwa unamshambulia?

Ninachoona kutoka kwako ni ego tu na kushambulia watu,lakini huna hoja ya maana.

Malizana na huyo mwenzio. Mimi Sina muda wa kujibizana na watu wa aina yako.
 
Hakuna ambacho hatujawahi kukisikia kuanzia biashara ya makaa ya mawe, Rostam Aziz, Petra Diamond, Symbion Power nk.

Hakuna nchi isiyo na billionaires, na hawa ndiyo wanakuza uchumi na ajira. Tuache wivu tufanye kazi.

Whether kanunua mgodi kwa bei rahisi tusubiri CAG atasemaje. Ila makaa ya mawe hayawezi kubakia Namtumbo kama udongo lazima yachimbwe na yakatumike. Ule siyo udongo kusema utalima mahindi
Weka namba ya simu uokote kidogo mdogo wangu
 
Nipo hapa nasubiri nondo zishuke,Kuna Nabii mmoja alisema suku mama anashika mic kuzindua kampeni ndio Mungu anamshushia pigo la ugonjwa na aibu,ngoja tuone.

Maana alisema Mungu atamfunua na kumfanya kama binti wa miaka 18,mpaka ya ndoa kuanikwa
 
Umeniquote "wewe" ukiwa unamaanisha Mimi ndiye huyo member uliyekuwa unamshambulia?

Ninachoona kutoka kwako ni ego tu na kushambulia watu,lakini huna hoja ya maana.

Malizana na huyo mwenzio. Mimi Sina muda wa kujibizana na watu wa aina yako.
You people are so shallow, kwanini ni-quote wewe?

Embu leta hiyo quote ya mimi kuanza kuku-quote wewe?

Otherwise it justifies my point, kuna members humu; upuuzi ulio kwenye vichwa vyao. Basi wanadhani wote tuna akili hizo.
 
Ndio huu Uzi wa tarehe 28 au tusuburi mwingine mwalimu Brita
 
isipokuwa Mimi. ukiyapa nafasi maisha ya rohoni, utabaini haya ya mwilini ni illusion, utayadharau. ni ubatili mtupu
Wewe huu ni urongo..yani mercides benz G wagon au chevy ni ubatili..?? Ikumbukwe yesu mwenyewe aliazima punda
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
We kimba hivi unatuonaje, huu ndio uzi ilisema utaitetemesha dunia leo?....embu kula vizuri uendelee kunya usjtuletee story za vijiweni humu.
 
Mnunuzi Mkubwa wa Makaa ya Mawe Kenya ni Bambuli Cement Mombasa na Athi river Nairobi.

Monthly consumption yao ya Makaa ya Mawe ni ndogo sana kiasi cha kutoa meli Mtwara uipeleke Mombasa.
Kumbuka Bandari iko Mtwara Makaa yapo Songea -500-600km, loading and offloading, ukifika Mombasa port uanze kuoffload na kupakia kwenye malori tena, nk.
Bado Mombasa port waandae facility ya kushushia coal nk.

Hizi hesabu zilishafanyika, ikaoekana sio economical, ndio maana unaona hayo malori yanatembea kwenda MSA na NRB.
aim ya kila operation ni kurun at low cost, sidhani kama kungekuwa na opportunity ya kupunguza cost basi Bamburi na Athi river wasingeitumia.
Kumbuka pia Mombasa port hakuna terminal ya makaa maana yake lazima ijengwe, sasa ni economic kuijenga kwa kupokea meli ya 5000tone monthly?

SA large volume ya Coal inasafirishwa kutoka Mpulanga to Richard bay kwenye wagons kwa ajili ya exportation, pale Richard bay port kuna coal terminal maarufu inaitwa RBCT. Lengo ilikuwa kuondoa cost za malori maana volume ni kubwa na production ni kubwa na zipo dedicated berth pale Richard bay kwa ajili ya Coal tu maana mzigo ni mkubwa.

Kiasi kikubwa cha Coal ya Tanzania ni export nje ya EA na largest producer wa coal ni Ruvuma coal, akifuatiwa kwa mbali na Jitegemee, RA- Taifa mining bado wanasuasua kwenye production.
Moja ya changamoto ya coal ya Tanzania ni market kwasababu ya high moisture contents.
Kwasasa Ulaya wanastock kiasi kikubwa cha Coal Kwa ajili ya power generation incase Russia akizingua, supplier wao mkubwa kutoka Tanzania ni Ruvuma Coal.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Haya mambo sasa mnazidi kutuchanganya TU... Hii comment Yako kama ni kweli kwamba RA mine yake Bado haijastabilize ukilinganisha na Ruvuma coal mine...

Je, attack ya pole2 kwamba RA anafisidi nchi kwa kujimilikisha mgodi wenye makaa ya mawe ya kuvunwa kwa miaka 400! Ni sahihi?

Kama ndivyo ilivyo, mgodi wa Ruvuma coal utavunwa kwa miaka mingapi? Na je huu nao unamilikiwa na RA?
 
Back
Top Bottom