Muungano ufe Tanganyika iwe huruKATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.✍️📌
Muungano ufe Tanganyika iwe huruKATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.✍️📌
Angela kiziga na Rostam Aziz wamemweka kwapani mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar ni mda wa Tanganyika kudai Uhuru wetu muungano UfeMilele Amina. Ya jpm yaache, sasa tuko na kazi ya kudili na wahuni waliomteka Rais wetu
SAWARichmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye anayedhaniwa kuwa mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Kwa Marco Chilya
😂😂😂😂😂Kikwete ni Karani wa Rostam, Rostam anafanana na Mhindi mmoja South Africa Gupta, unaposikia scandal kubwakubwa South Africa basi Gupta lazima awe nyumba ya camera.
Tanzania Rostam Aziz, huyu alikuwa amehibernate tu, sasa amerestart software katika version za kisasa zaidi.
Yaan kwa jinsi mioyo ya watz ilivyopondeka juu ya hizi taarifa mbaya zinazomhusu ROSTAM, ni ngumu sana kuwa huru kama zaman, na sasa kila atakaye kuwa karibu na yeye ataona anachafuliwa maana ishajengwa image mbaya kumuhu yeye kwenye jamii, uyu jamaa siku zake zinahesabika, trust me.ikumbukwe kuwa polepole awali hakuwa akimuongelea Rostam Aziz, yeye alikuwa kajikita kukosoa mchakato wa uteuzi jins la mgombea Urais kwa tiketi ya ccm, ndipo Rostam Aziz kwa kihere here chake akadandia ligi kwa mbele akizani polepole hana File zake kumbe anamjua vizuri kuliko anavyojijua mwenyewe, sasa Rostam anajuuta kumchokonoa Polepole maana kamvua nguo zote kila mmoja anajua kuwa Rostam ni mwizi wa Rasilimali za Nchi na ndiye alimuua magufuli
Wewe maskini njaa utamkamata nani? Povu hili sababu ni njaaHuyu jangili kwa kweli inabidi akamatwe tu maana anaifilisi nchi mno.
Mkuu, tofautisha kati ya mbinu na taarifa. Mimi nimetoa taarifa, sijatoa mbinu. Mbinu huwa hazitolewi hadharani 😅Haya Usalama wa taifa, mbinu ya kudeal na Rostam Aziz, Kikwete na Mze Makamba hii hapa. Tumshukuru UmkhontoweSizwe kwa mchango wake huu👆👆
Sawa sawaTupo live
Sio Kobaz tu japo Kobazi wao msisitizo ni mkubwa zaidi.Hata Wakatoliki nao wana misimamo.Huwa nawaelewa sana kobaz wanaposema Mwanamke ni mlezi wa familia tu na sio uongozi
NamTupo pamoja Mkuu nimekunywa kahawa leo hakuna kulala kama mlinzi
NmHapa USA ndio mchana tutakusubiri na wala hatusinzii
NamTupo live
ra vs km