Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Mwaga mwagia ndanii
Inaonekana rost tamu alimwagia mpaka ndani kabisa akapewa mgodi kwa bei chee maimeni yaan billion 5 mgodi una thamani ya kuchimbwa miaka zaidi ya 400 kweeli kuna waahuni wanajua kumbato sio utani unatoa billion 5 unaingiza zaidi ya billion 500 halafu mama yako anabaki anachekelea tu, ndio maana kuna mtu alisema hii Katiba hii siku akitokea rais Mwendawazimu kichaa Mjinga hana akili ataiuza Nchi yote tena kwa bei ya Hasara kabisa afunge hesabu alale mbele
 
Biashara ya makaa ya mawe haina hela vile, kama unauza kwa bei ya soko.

Hela hapo inapigwa kwenye usafirishaji (especially kama usafiri wenyewe ni wa ma-lorry), serikali haiwezi pata kitu cha maana baada kulipia gharama za usafiri.

Ni sawa na kugawa mgodi bure tu; au watu kujichotea tu makaa.
 
Rostam ni mbwa mwitu katika kundi la kondoo.. wale walioukuwa kwenye kamati ya kuchunguza Richmond wameuliwa na wengine waliishi maisha ya digidigi..William Shelukindo,Harrison Mwakyembe,Stella Manyanya,Lkcas Seleli,na spika Samwel Sita.. hapa watakuja chawa wake anaowalipa kumpambania huyo fisadi watakuambia una wivu wa kimaskini .. pumbavu sn hawa watu...
 
Rostam ni mbwa mwitu katika kundi la kondoo.. wale walioukuwa kwenye kamati ya kuchunguza Richmond wameuliwa na wengine waliishi maisha ya digidigi..William Shelukindo,Harrison Mwakyembe,Stella Manyanya,Lkcas Seleli,na spika Samwel Sita.. hapa watakuja chawa wake anaowalipa kumpambania huyo fisadi watakuambia una wivu wa kimaskini .. **** sn hawa watu...
Kuna mdau anasema comment zinafutwa sijui ni kweli ngoja nione hii
 
Back
Top Bottom