ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,535
- 21,548
Nia ya Muumini huwa safi kuliko Matendo yake
Ndugu zangu muumini anatakiwa awe na Nia nzuri au safi kabla ya matendo yake,kwasababu Nia ipo moyoni na imeepukana na riya/kujionyesha
lakini matendo yetu mara nyingi hayaja epukana na kujionyesha,na Mtume swalla aallahu alaih wasallam anasema hakika matendo ya mja hulipwa kutokana na nia yake
Kwahiyo kama Nia yako ni safi basi hakika ibada zako zitakuwa safi na zitakiwa zimeepushwa na riya
Kwahiyo pale nia na matendo ya muumini yakiwa safi basi inasemwa mja huyu hakika amemkumbuka Mola wake kwa moyo na vitendo
Kwahiyo tujitahidi sana kuzitakasa nia zetu,na kwakuwa na nia nzuri tu basi mja hupata thawabu moja kamili
mathalani unapotia nia ulale mapema ili uwahi kuamka alfajir ili uwahi swala ya asubuhi hapo tayar kulala kwako kunahesabika kama upo ndani ya ibada
Na mja akikusudia kufanya jambo jema na asilifanye basi huandikiwa jema moja kamili,je uzuri ulioje kwa nia na muumini?
Kwahiyo tujitahidi sana kuzitakasa nia zetu kwani hizo ndio msingi mzima wa ibada zetu