Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Huyo hata hana la kufanya
Ameisha bakia kubwabwaja mara icc, mara no freight zone, hamtatoka airport, mara kimbia, yaan ujinga ujinga kibao
Huyo anajifia mdogo mdogo achana naye
Watakuwa wamejifunza kupitia ugumu wa siku ya tarehe 29 October.

Kwenye kalenda siku ile inapaswa kuzungushiwa wino mwekundu.
 
Kama Trump hajaenda huko ujue ni mkutano wa wapiga porojo tu.
Anaogopa kukamatwa Upambavu anaofanya katengwa na Dunia nzima kabaki na Israel tuu
 
Anaogopa kukamatwa Upambavu anaofanya katengwa na Dunia nzima kabaki na Israel tuu
Rais wa US hawezi kukamatwa popote hapa duniani boss. Huenda hujui unaloongea. Huko anajua ni mkutano wa furahisha genge. Hakuna la maana linaweza kufanyika dunia hii bila mkono wa US.
 
Anazidi kuipaisha Tanzania kimataifa hivi Titto Magoti si alisema warrant zake za ICC tayari na atakamatwa??😂😂😂😂😂😂😂kwa mlioyazusha kwake Muombeni Radhi Samia hakika ni msikivu atawasikia.

Safari zake zitabaki za huko huko kwa Wajomba zake. Lakini akumbuke hata kule kuna Aljazeera wanamsubiri.....!!
 
Samia to the World!!!!!

Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS.

Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi utekelezaji wa dira ya 2050 na Sera mpya ya mambo ya nje zilizoweka Diplomasia ya kiuchumi kama Nguzo ya mahusiano ya Kimataifa

Lengo ni kuonesha Sera ushirikiano na Mitaji ya uwekezaji kwa maendeleo ya Taifa.



Photo: courtesy state house


View attachment 3537914

Mkutano wa Washirika wa Serikali za Dunia wa 2026 ulithibitisha kwamba Mkutano huo unaendelea kuimarisha hadhi yake kama jukwaa linaloongoza la kimataifa la kutarajia mustakabali na kuunda sera bunifu za serikali zinazohakikisha furaha na ustawi wa watu.

Wakizungumza katika Mazungumzo ya Mkutano wa Serikali za Dunia, uliofanyika leo katika Jumba la Makumbusho la Wakati Ujao ili kueleza kwa undani masasisho mapya zaidi ya toleo lijalo linalotarajiwa kufanyika Dubai kuanzia tarehe 3 hadi 5 Februari, washirika wa WGS 2026 walisema Mkutano huo ni mkusanyiko wa kimataifa wa watunga maamuzi, wataalamu na viongozi wa mawazo wanaobadilishana maono na maarifa, na kuchunguza sera na suluhisho bora za kusaidia maendeleo endelevu na kuendesha ushirikiano wa kimataifa katika sekta muhimu.

Washirika wa Mkutano ujao ni pamoja na Mamlaka ya Barabara na Uchukuzi ya Dubai (RTA) kama Mshirika wa Uhamaji Mahiri; Mamlaka ya Umeme na Maji ya Dubai (DEWA) kama Mshirika wa Nishati Endelevu; Manispaa ya Dubai kama Mshirika wa Jiji Mahiri; DP World, Dubai Chambers na Mamlaka ya Udhibiti wa Serikali ya Mawasiliano na Dijitali (TDRA) kama Washirika Wakuu; Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi (ADFD) kama Mshirika wa Kimkakati; na e& UAE kama Mshirika wa Teknolojia.

Rashid Al Kaabi, Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu katika ADFD, alisema, "Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi unathamini ushirikiano wake wa kimkakati na mkutano wa kilele wa Serikali za Dunia, unaochukua zaidi ya muongo mmoja na umechangia katika kuunda mustakabali wa serikali na kuendeleza matokeo endelevu ya maendeleo duniani kote. Ushiriki wa ADFD mwaka huu ni muhimu sana kwani unaendana na uzinduzi wa Mkakati wake wa 2030, ambao unalenga kuongeza athari za maendeleo na kuongeza ufanisi kupitia suluhisho bunifu za ufadhili na kukuza ukuaji endelevu wa uchumi ndani na kimataifa."

Al Kaabi aliongeza, "Kwa kushirikiana na washirika wetu, tutafanya kazi ili kuendeleza malengo ya mipango mikuu ya Mfuko, hasa mpango wa 'AI for Development' wa dola bilioni 1, ambao unalenga kufadhili miradi yenye athari kubwa na kutumia teknolojia za hali ya juu katika nchi za Afrika. Mpango huo utatekelezwa kupitia ADEX, tawi la ufadhili wa mauzo ya nje la ADFD."

Al Kaabi alihitimisha, "Pia tutaimarisha juhudi zetu za kuendeleza Jukwaa la Maji la Kimataifa la Abu Dhabi, lenye thamani ya jumla ya dola bilioni 2, linalolenga kufadhili miradi ya maendeleo, kuvutia fursa mpya za uwekezaji, na kutekeleza mipango bunifu inayochangia kuimarisha sekta ya maji duniani. Mfuko umetenga dola bilioni 1 za Marekani kusaidia jukwaa hilo wakati wa kipindi chake cha uendeshaji kuanzia 2026 hadi 2030, kwa lengo la kuwafikia takriban walengwa milioni 10
Huyu ni mjamzito au?
 
Kwenye msafara wake kuna jopo la waganga watano kutoka Nigeria
 
They have no Balls to Issue the warrant
Warrant bado haijatolewa, lakini I guarantee investigation on her neck right now, sooner or later she will answer for October 29 atrocities aliyowafanyia Watanzania, believe me
 
Kwa hiyo ulitaka tuwavumilie watu wanachoma miundombinu kwa kisingizio cha maandamano? Maandamano gani hayana kiongozi? Hayana mabango? Hayana starting point to end point?? Wana loot na kuiba tu!!

Be serious bana!! La sivyo ungerudishwa kwenu sikui ni Itumba au Isoko? We mndali acha porojo
 
Warrant bado haijatolewa, lakini I guarantee investigation on her neck right now, sooner or later she will answer for October 29 atrocities aliyowafanyia Watanzania, believe me
Rais kikatiba alikuwa sahihi, aliwalinda raia na mali zao. Huwezi kuleta machafuko kwa lengo la kuiangusha serikali halafu uangaliwe tu.

Hao vijana watakuwa wamejifunza madhara ya dharau kwa mfumo mzima wa ulinzi wa JMT.
 
Back
Top Bottom