Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Kuna video kabisa ya huyo dada kulia ana jiwe kushoto mpini, video yake mashuhuri hata Larry madowo aliitumia
Nadhani ungeleta hio video hapa tuione akiwa ameshika mpini na jiwe kiasi kwamba apigwe risasi ya mgongo, na kama inafaa Zaid uende kwenye kaburi lake umuulize kama utaleta picha tukikna Hilo jiwe na mpini. Na je kama wewe unauliza vya nini kama ukileta picha za udhibitisho, mindset ya kuuliza vilikua vya nini inatoa justification Gani wewe kumpiga risasi ya mgongo...

NB: bila hio video wewe unayesema umeiona basi hakuna justification yako kuhalalisha mauaji ya huyo mama kwa kumpiga risasi ya mgongo. Na zaidi hakuna uhalalisho wa kumuua mwanamke sababu kashika mpini na jiwe akikimbia na wewe kumlenga kwenye mgongo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tumepata Rais ,tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele ,tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu. Tumepata Rais Mwenye kuheshimika popote pale akanyagapo Miguu Yake. Tumepata kiongozi Mwenye kuaminika na kuaminiwa na watu na aliyeliheshimisha Taifa letu.

Sasa Dunia Inaitambua Tanzania na mchango wake katika Mapinduzi ya kichumi ,vita dhidi ya umaskini,mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia ya Nchi,mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa , unyonyaji,uonevu n.k.

Sasa Tanzania inagonga na kuteka vyombo mbalimbali vya Habari vya kimataifa kwa uzuri wake na utulivu wake kwa kila atakaye kuitembea nchi yetu.

Ndio Maana leo Dunia nzima imeshuhudia Rais wetu akipokelewa na kupata mapokezi mazito na ya heshima kubwa sana huko uarabuni,huku ulinzi wake ukiwa mkali na mzito kwelikweliiiiiii kupita hata ule au sawa na wa Rais wa Marekani. Imekuwa ni gumzo na kila mmoja akifurahishwa na ugeni huo mzito na wa Heshima wa Rais wetu Mpendwa.

Kwa hakika Watanzania tembeeni vifua mbele . Tembeeni Kwa madaha na kunesanesa kwa furaha ,tabasamu na raha maana tuna Kiongozi wa nguvu , madhubuti,imara , shupavu na hodari kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3538098
Chawa unajitia kidole alafu unanusa
 
Ila bwana luca una moyo daahh😁😁😋
 
FB_IMG_1768743635679.jpg
FB_IMG_1760422784966.jpg
FB_IMG_1768708762755.jpg
downloadfile-5.jpg
downloadfile-2.png
VamP.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tumepata Rais ,tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele ,tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu. Tumepata Rais Mwenye kuheshimika popote pale akanyagapo Miguu Yake. Tumepata kiongozi Mwenye kuaminika na kuaminiwa na watu na aliyeliheshimisha Taifa letu.

Sasa Dunia Inaitambua Tanzania na mchango wake katika Mapinduzi ya kichumi ,vita dhidi ya umaskini,mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia ya Nchi,mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa , unyonyaji,uonevu n.k.

Sasa Tanzania inagonga na kuteka vyombo mbalimbali vya Habari vya kimataifa kwa uzuri wake na utulivu wake kwa kila atakaye kuitembea nchi yetu.

Ndio Maana leo Dunia nzima imeshuhudia Rais wetu akipokelewa na kupata mapokezi mazito na ya heshima kubwa sana huko uarabuni,huku ulinzi wake ukiwa mkali na mzito kwelikweliiiiiii kupita hata ule au sawa na wa Rais wa Marekani. Imekuwa ni gumzo na kila mmoja akifurahishwa na ugeni huo mzito na wa Heshima wa Rais wetu Mpendwa.

Kwa hakika Watanzania tembeeni vifua mbele . Tembeeni Kwa madaha na kunesanesa kwa furaha ,tabasamu na raha maana tuna Kiongozi wa nguvu , madhubuti,imara , shupavu na hodari kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3538098

Grow up
 
Wewe ni Malaya
 
Back
Top Bottom