Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Bado haujasema mpaka useme na utasema tu yaani mpaka useme na utasema tu Mwenzio ndiyo hivyo tena kala pipa huyo Uarabuni kwenda kuiwakilisha nchi, ukileta za kuleta unapigwa ya kichwa ufe
Walikuwepo more powerful tyrants kama kina Gadaffi leo ni historia tu. So ni suala la muda tu naye atafuata the same fate
 
Hakuna nchi ambayo raia wake hawafi dhidi ya nguvu za Serikali, iwe USA au UK.

Tafuteni CD nyingine, hii imesha chacha inakwaruza
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
01 February 2026
Accra, Ghana

Rais Mahama wa Ghana ameondoka Accra kwenda Dubai kuhudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=tY1SgIBI-Z4
Rais Mahama ameondoka Accra kwenda Dubai kuhudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia wa mwaka huu, akisafiri kwa ndege iliyotolewa na Rais wa Falme za Kiarabu na Mtawala wa Abu Dhabi. Baada ya mkutano huo, Rais ataendelea kwenda Zambia, akitumia ndege hiyo hiyo kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Rais Hakainde Hichilema.
 
TETESI. ACCRA, Ghana
Rais Mahama aondoka Ghana kuelekea Dubai kwa ndege maalum, gharama zote zikilipwa na Abu Dhabi King

View: https://m.youtube.com/watch?v=xOIeYNiaUaw

Rais John Mahama ameondoka kwenda Dubai, Falme za Kiarabu, kwa ndege maalum iliyotolewa na Mtawala wa Abu Dhabi, kabla ya ziara yake ya kitaifa nchini Zambia. Safari hii ni sehemu ya juhudi zake za kuimarisha uhusiano wa kikanda na kuendeleza ushirikiano wa kibiashara kote Afrika. Mahama atahudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia wa 2026 na kushiriki katika mazungumzo ya ngazi ya juu ya pande mbili.
 
TETESI. ACCRA, Ghana
Rais Mahama aondoka Ghana kuelekea Dubai kwa ndege maalum, gharama zote zikilipwa na Abu Dhabi King

View: https://m.youtube.com/watch?v=TuKxw9qhIF0
Rais John Mahama ameondoka kwenda Dubai, Falme za Kiarabu, kwa ndege maalum iliyotolewa na Mtawala wa Abu Dhabi, kabla ya ziara yake ya kitaifa nchini Zambia. Safari hii ni sehemu ya juhudi zake za kuimarisha uhusiano wa kikanda na kuendeleza ushirikiano wa kibiashara kote Afrika. Mahama atahudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia wa 2026 na kushiriki katika mazungumzo ya ngazi ya juu ya pande mbili.

Maraisi Dunia nzima wako huko nchi 150
 
Ingekuwa ni aheri asirudi kabisa. Abakie huko huko kwa washirika wake wa kuiba rasilimali za nchi yetu.
 
Machawa wanahangaika sana kuanzisha habari na kuichangia wenyewe tena wengine kwa kutumia ID zaidi ya moja, hii yote ikiwa ni njia ya kuganga njaa.

Nimethibitisha kwamba hakuna mkutano kama huo nchini UAE na hiyo ni just a private trip devoid of any benefit to Tanzania as a nation.
 
Samia to the World!!!!!

Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS.

Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi utekelezaji wa dira ya 2050 na Sera mpya ya mambo ya nje zilizoweka Diplomasia ya kiuchumi kama Nguzo ya mahusiano ya Kimataifa

Lengo ni kuonesha Sera ushirikiano na Mitaji ya uwekezaji kwa maendeleo ya Taifa.



Photo: courtesy state house


View attachment 3537914

Mkutano wa Washirika wa Serikali za Dunia wa 2026 ulithibitisha kwamba Mkutano huo unaendelea kuimarisha hadhi yake kama jukwaa linaloongoza la kimataifa la kutarajia mustakabali na kuunda sera bunifu za serikali zinazohakikisha furaha na ustawi wa watu.

Wakizungumza katika Mazungumzo ya Mkutano wa Serikali za Dunia, uliofanyika leo katika Jumba la Makumbusho la Wakati Ujao ili kueleza kwa undani masasisho mapya zaidi ya toleo lijalo linalotarajiwa kufanyika Dubai kuanzia tarehe 3 hadi 5 Februari, washirika wa WGS 2026 walisema Mkutano huo ni mkusanyiko wa kimataifa wa watunga maamuzi, wataalamu na viongozi wa mawazo wanaobadilishana maono na maarifa, na kuchunguza sera na suluhisho bora za kusaidia maendeleo endelevu na kuendesha ushirikiano wa kimataifa katika sekta muhimu.

Washirika wa Mkutano ujao ni pamoja na Mamlaka ya Barabara na Uchukuzi ya Dubai (RTA) kama Mshirika wa Uhamaji Mahiri; Mamlaka ya Umeme na Maji ya Dubai (DEWA) kama Mshirika wa Nishati Endelevu; Manispaa ya Dubai kama Mshirika wa Jiji Mahiri; DP World, Dubai Chambers na Mamlaka ya Udhibiti wa Serikali ya Mawasiliano na Dijitali (TDRA) kama Washirika Wakuu; Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi (ADFD) kama Mshirika wa Kimkakati; na e& UAE kama Mshirika wa Teknolojia.

Rashid Al Kaabi, Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu katika ADFD, alisema, "Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi unathamini ushirikiano wake wa kimkakati na mkutano wa kilele wa Serikali za Dunia, unaochukua zaidi ya muongo mmoja na umechangia katika kuunda mustakabali wa serikali na kuendeleza matokeo endelevu ya maendeleo duniani kote. Ushiriki wa ADFD mwaka huu ni muhimu sana kwani unaendana na uzinduzi wa Mkakati wake wa 2030, ambao unalenga kuongeza athari za maendeleo na kuongeza ufanisi kupitia suluhisho bunifu za ufadhili na kukuza ukuaji endelevu wa uchumi ndani na kimataifa."

Al Kaabi aliongeza, "Kwa kushirikiana na washirika wetu, tutafanya kazi ili kuendeleza malengo ya mipango mikuu ya Mfuko, hasa mpango wa 'AI for Development' wa dola bilioni 1, ambao unalenga kufadhili miradi yenye athari kubwa na kutumia teknolojia za hali ya juu katika nchi za Afrika. Mpango huo utatekelezwa kupitia ADEX, tawi la ufadhili wa mauzo ya nje la ADFD."

Al Kaabi alihitimisha, "Pia tutaimarisha juhudi zetu za kuendeleza Jukwaa la Maji la Kimataifa la Abu Dhabi, lenye thamani ya jumla ya dola bilioni 2, linalolenga kufadhili miradi ya maendeleo, kuvutia fursa mpya za uwekezaji, na kutekeleza mipango bunifu inayochangia kuimarisha sekta ya maji duniani. Mfuko umetenga dola bilioni 1 za Marekani kusaidia jukwaa hilo wakati wa kipindi chake cha uendeshaji kuanzia 2026 hadi 2030, kwa lengo la kuwafikia takriban walengwa milioni 10
Kwani Idd Amin alikuwa hasafiri. Mbona alifika hadi NEW York na hotuba yake?
Kumchinja Kobe lazima timing!
 
Alikua na kiberiti /lighter
Kwa wewe kujua alikua na kiberiti yawezekana ni wewe uliempiga risasi au tupe udhibitisho wa picha uliyompiga kwa karibu kua ameshika kiberiti na maelezo ya kina ukifafanua kua je kwa mwanamke ama mwanamama wa kitanzania anaetafuta riziki akiwa ameshika kiberiti anauwawa kwa kupigwa risasi ya mgongo? ..au je wamama wote tanzania wanaotembea na kiberiti kwa siku hio je walifanya kosa kua na kiberiti Hadi kufikiwa kuuawawa? Ielezee hadhira ya jamii forums wanaosoma kwa niaba ya serikali yako chini ya rais wako na waliotekeleza mauaji ..
 
Mkuu wa Madawa ya kulevya nae yupo hapo sijui yanamhusu nini masafari ya Rais.

Staili za Julius Nyerere hizi, wengine wote wanakuja wanaiga.

Sijui kwa nini Trump akisafiri mawaziri na wakuu wa majeshi na magavana hawaendi uwanja wa ndege kujipanga kigwaride.

Yani wakuu wanaitwa ghafla tu, sijui hawana appointment zao na watu au vikao sensitive ofisini ambavyo vimefutwa ghafla kuitwa kwenda uwanja wa Ndege???.

Miviongozi ya Tanganyika na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
UZURI DELTA FORCE IPO HUKO FALME ZA KIARABU.AKIFIKA TU ANANYAKULIWA KAMA MWEWE ANAVYONYAKUA KIFARANGA CHA KUKU AKITOKEA ANGANI
 
Huyo hata hana la kufanya
Ameisha bakia kubwabwaja mara icc, mara no freight zone, hamtatoka airport, mara kimbia, yaan ujinga ujinga kibao
Huyo anajifia mdogo mdogo achana naye
Yaani huyo kama keshachanganyikiwa vile
 
Machawa bwana ICC hawajatoa Arrest warrant Kwa Samia so ana uhuru wa kwenda US Hadi EU, wakitoa arrest warrant hapo ata Kenya hakanyagi

So wekeni akina ya maneno
Lini wataitoa hiyo warrant ili watu waache mauzurulaji?
 
View attachment 3537933
Naomba kuuliza, na huyo mama hapo chini aliekua anakata roho baada ya kupigwa risasi ya mgongo Yani akiwa anakimbia, nani atamuomba radhi? Au ni mmemuona ni msenge tu Hana lolote KIFO chake na waliokufa kama yeye ni wasenge tu..si ndio mana unaweza kuleta mapumbu yako hapa kusema tumuombe radhi
Hilo jiwe na ule mpini alikua anaenda kufanyia nini wapi na kwa nani?
 
Back
Top Bottom