Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Walikuwepo more powerful tyrants kama kina Gadaffi leo ni historia tu. So ni suala la muda tu naye atafuata the same fate

Hata wewe utakufa, ila yeye Akifa keshaacha Mali za urithi hadi generation ya Tako kutoka generation yake leo
 
Samia to the World!!!!!

Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS.

Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi utekelezaji wa dira ya 2050 na Sera mpya ya mambo ya nje zilizoweka Diplomasia ya kiuchumi kama Nguzo ya mahusiano ya Kimataifa

Lengo ni kuonesha Sera ushirikiano na Mitaji ya uwekezaji kwa maendeleo ya Taifa.



Photo: courtesy state house


View attachment 3537914

Mkutano wa Washirika wa Serikali za Dunia wa 2026 ulithibitisha kwamba Mkutano huo unaendelea kuimarisha hadhi yake kama jukwaa linaloongoza la kimataifa la kutarajia mustakabali na kuunda sera bunifu za serikali zinazohakikisha furaha na ustawi wa watu.

Wakizungumza katika Mazungumzo ya Mkutano wa Serikali za Dunia, uliofanyika leo katika Jumba la Makumbusho la Wakati Ujao ili kueleza kwa undani masasisho mapya zaidi ya toleo lijalo linalotarajiwa kufanyika Dubai kuanzia tarehe 3 hadi 5 Februari, washirika wa WGS 2026 walisema Mkutano huo ni mkusanyiko wa kimataifa wa watunga maamuzi, wataalamu na viongozi wa mawazo wanaobadilishana maono na maarifa, na kuchunguza sera na suluhisho bora za kusaidia maendeleo endelevu na kuendesha ushirikiano wa kimataifa katika sekta muhimu.

Washirika wa Mkutano ujao ni pamoja na Mamlaka ya Barabara na Uchukuzi ya Dubai (RTA) kama Mshirika wa Uhamaji Mahiri; Mamlaka ya Umeme na Maji ya Dubai (DEWA) kama Mshirika wa Nishati Endelevu; Manispaa ya Dubai kama Mshirika wa Jiji Mahiri; DP World, Dubai Chambers na Mamlaka ya Udhibiti wa Serikali ya Mawasiliano na Dijitali (TDRA) kama Washirika Wakuu; Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi (ADFD) kama Mshirika wa Kimkakati; na e& UAE kama Mshirika wa Teknolojia.

Rashid Al Kaabi, Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu katika ADFD, alisema, "Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi unathamini ushirikiano wake wa kimkakati na mkutano wa kilele wa Serikali za Dunia, unaochukua zaidi ya muongo mmoja na umechangia katika kuunda mustakabali wa serikali na kuendeleza matokeo endelevu ya maendeleo duniani kote. Ushiriki wa ADFD mwaka huu ni muhimu sana kwani unaendana na uzinduzi wa Mkakati wake wa 2030, ambao unalenga kuongeza athari za maendeleo na kuongeza ufanisi kupitia suluhisho bunifu za ufadhili na kukuza ukuaji endelevu wa uchumi ndani na kimataifa."

Al Kaabi aliongeza, "Kwa kushirikiana na washirika wetu, tutafanya kazi ili kuendeleza malengo ya mipango mikuu ya Mfuko, hasa mpango wa 'AI for Development' wa dola bilioni 1, ambao unalenga kufadhili miradi yenye athari kubwa na kutumia teknolojia za hali ya juu katika nchi za Afrika. Mpango huo utatekelezwa kupitia ADEX, tawi la ufadhili wa mauzo ya nje la ADFD."

Al Kaabi alihitimisha, "Pia tutaimarisha juhudi zetu za kuendeleza Jukwaa la Maji la Kimataifa la Abu Dhabi, lenye thamani ya jumla ya dola bilioni 2, linalolenga kufadhili miradi ya maendeleo, kuvutia fursa mpya za uwekezaji, na kutekeleza mipango bunifu inayochangia kuimarisha sekta ya maji duniani. Mfuko umetenga dola bilioni 1 za Marekani kusaidia jukwaa hilo wakati wa kipindi chake cha uendeshaji kuanzia 2026 hadi 2030, kwa lengo la kuwafikia takriban walengwa milioni 10
Bandari already gone,now dhahabu is going....
 
Bandari already gone,now dhahabu is going....
Punguzeni uzushi wenye roho za kibaguzi. Kilichotokea kwa Samia na DP World hakina tofauti na kile kilichotokea kwa Mkapa na TICTS.

Ni biashara ya upangishaji, tupunguze roho za kibaguzi hazitusaidii chochote zaidi ya kujaza hasira kwa vijana wa Gen Z, siku wakiingia mitaani tunashangaa kwanini vijana wana hasira kiasi hiki, kumbe tumewajazia vichwani mwao taarifa nyingi za uzushi zenye kuleta chuki za muda mrefu.
 
Huyu nyang'au , takataka na muuaji anaweza kudhani tumesahau ila ni kwamba hatujasahau na njia hii hii naye ataipitia iwe kesho au keshokutwa hawezi kujificha daima ndio kwanza yuko siku ya 100 ya kujificha.

Siku zinakuja za majonzi upande wake.

 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tumepata Rais ,tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele ,tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu. Tumepata Rais Mwenye kuheshimika popote pale akanyagapo Miguu Yake. Tumepata kiongozi Mwenye kuaminika na kuaminiwa na watu na aliyeliheshimisha Taifa letu.

Sasa Dunia Inaitambua Tanzania na mchango wake katika Mapinduzi ya kichumi ,vita dhidi ya umaskini,mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia ya Nchi,mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa , unyonyaji,uonevu n.k.

Sasa Tanzania inagonga na kuteka vyombo mbalimbali vya Habari vya kimataifa kwa uzuri wake na utulivu wake kwa kila atakaye kuitembea nchi yetu.

Ndio Maana leo Dunia nzima imeshuhudia Rais wetu akipokelewa na kupata mapokezi mazito na ya heshima kubwa sana huko uarabuni,huku ulinzi wake ukiwa mkali na mzito kwelikweliiiiiii kupita hata ule au sawa na wa Rais wa Marekani. Imekuwa ni gumzo na kila mmoja akifurahishwa na ugeni huo mzito na wa Heshima wa Rais wetu Mpendwa.

Kwa hakika Watanzania tembeeni vifua mbele . Tembeeni Kwa madaha na kunesanesa kwa furaha ,tabasamu na raha maana tuna Kiongozi wa nguvu , madhubuti,imara , shupavu na hodari kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260202-213238_1.jpg
 
Hilo jiwe na ule mpini alikua anaenda kufanyia nini wapi na kwa nani?
Nadhani ungeleta picha hapa tuione akiwa ameshika mpini na jiwe kiasi kwamba apigwe risasi ya mgongo, na kama inafaa Zaid uende kwenye kaburi lake umuulize kama utaleta picha tukikna Hilo jiwe na mpini. Na je kama wewe unauliza vya nini kama ukileta picha za udhibitisho, mindset ya kuuliza vilikua vya nini inatoa justification Gani wewe kumpiga risasi ya mgongo...
 
Akumbuke hiyo ndege imetengenezwa na Mmarekani. Unaweza shangaa kuna siku inatua ulaya bila yeye kujua.

Mifumo ya wazungu mingi ina operate kwa backdoor. Yaani wanaweza kuingilia huo mfumo unaoongoza ndege na rubani asifanye chochote.
 
Naona mwashambwa angemwaga nje ingesaidia ...
 
Nadhani ungeleta picha hapa tuione akiwa ameshika mpini na jiwe kiasi kwamba apigwe risasi ya mgongo, na kama inafaa Zaid uende kwenye kaburi lake umuulize kama utaleta picha tukikna Hilo jiwe na mpini. Na je kama wewe unauliza vya nini kama ukileta picha za udhibitisho, mindset ya kuuliza vilikua vya nini inatoa justification Gani wewe kumpiga risasi ya mgongo...
Kuna video kabisa ya huyo dada kulia ana jiwe kushoto mpini, video yake mashuhuri hata Larry madowo aliitumia
 
Back
Top Bottom