Rais Samia Suluhu akutana na Yvone Chakachaka

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,157
Reaction score
166,119
Rais Dkt. Samia akutana na kuzungumza na Msanii Yvonne Chakachaka kutoka Afrika Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msanii Mkongwe kutoka nchini Afrika ya Kusini Yvonne Chakachaka, tarehe 20 Agosti, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Msanii huyo yupo nchini kwa ajili ya kushiriki katika Jukwaa la Mashariki Creative Expo 2026 likiwa na lengo la kutoa elimu na ulinzi kwenye kazi za ubunifu zinazojumuisha filamu, sanaa za ufundi na muziki.
1000049969.jpg
1000049970.jpg
 
Attachments

  • 1000049968.jpg
    1000049968.jpg
    258.8 KB · Views: 10
Nahisi pia kamletea na umkomboti! Daa ila nchi yetu shida sana! Yaan badala ya kuwaalika ikulu kina elon musk au watu wa maana tunawaalika kina mkomboti na senki yuu mr dijei
 
Rais Dkt. Samia akutana na kuzungumza na Msanii Yvonne Chakachaka kutoka Afrika Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msanii Mkongwe kutoka nchini Afrika ya Kusini Yvonne Chakachaka, tarehe 20 Agosti, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Msanii huyo yupo nchini kwa ajili ya kushiriki katika Jukwaa la Mashariki Creative Expo 2026 likiwa na lengo la kutoa elimu na ulinzi kwenye kazi za ubunifu zinazojumuisha filamu, sanaa za ufundi na muziki.
Hili limama liuaji aisee lina roho kama ya paka
 
Back
Top Bottom