Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,425
- 2,274
Ruzuku.....Ninaomba kufahamu, ni kwanini bei ya pembejeo Msumbiji na Malawi iko chini kuliko hapa kwetu?
Ruzuku.....Ninaomba kufahamu, ni kwanini bei ya pembejeo Msumbiji na Malawi iko chini kuliko hapa kwetu?
Samia anazalisha pikipiki?!Kwani pembejeo anazalisha Samia? Jaribuni kuelewa dynamics za biashara japo kidogo kabla huja post humu
Chama cha matapeliChama chawala..chukua chako mapema
NotedMkuu unafikiri kwanini Sumry anataka kuacha kulima..?
Unafikiri kwa mkulima wa level ya sumry naye niwakutafutiwa masoko na serikali?..
Kilimo ni biashara na uwekezaji, binafsi naamini kilimo kufanywa na mtu masikini ni kuendelea kumfanya masikini tu...Kilimo naamini kinahitaji uwekezaji wa kulima kuanzia ekari 10 na kuendelea na sio chini ya hapo...Kulima ekari tano kushuka chini ni kutafuta chakula tu na hela ya kula..
Kilimo bila ya uwekezaji ni sawa na bure tu, masoko yaliyoko huko duniani yanahitaji constant supply ya mazao, ukiweza hili na dunia ikajua kila miezi fulani inaweza kupata say 1000ton lazima wateja waje, na kuzipata ton hizo kwa constant supply unahitaji uwekezaji sio hiki kilimo chetu cha kimasikini..
Mfano, kila siku asubuhi pale London wanahitaji fresh flower na unapaswa kujaza ndege, sasa mkulima wa hivi lazima awe bepari...
Zimbabwe baada ya kunyang'anya mashamba wazungu walishindwa kulima maana walitegemea kulima kwa jembe la mkono wakati wenzao waliwekeza..
Duniani nchi zilizoendelea kilimo kinafanywa na wafanyabiashara wakubwa matajiri sio watu masikini, maana yake ni nini, Kilimo kinahitaji uwekezaji mkubwa ndio tafsiri....
Ni mara chache sana kilimo kinamtajirisha mtu masikini, kilimo kinawezekana tu kufanywa na matajiri...
Boxer? Tena huko shamba?Hizo pikipiki zitadumu ushangae
Imagine pikipiki baada ya miaka 2 inakuwa yako unaanzaje kuifuja?
Ingawa hapa patakuwa na figisu hutoamini
Kuijali kwa maneno tu.Pamoja na yooote Mh. Bashe anaonyesha dhamira ya kweli katika kukiendeleza kilimo. Binafsi siamini katika muundo huu wa ugani na wakulima wadogo ambao efficiency yao ni ndogo. Pia mfumo huu wa kilimo ndiyo unaosababisha masoko kutokupatikana kwakua unaleta ushindani usio wa lazima huku kila kaya ikijilisha yenyewe hivyo kuvuruga utaratibu wa soko....
Hata hivyo bado Waziri mwenye dhamana anaonyesha angalau kuijali sekta tofauti na watangulizi wenzake
Huwa hamkosekani 🤣🤣Maigizo tupu wala hakuna la maana, kongomano la kilimo mwezi 4 serious? kwanini wasifanye mwezi wa 10 watu waka-implement?
Do you have functioning mind? Unadhani kushughukikia ni kiropoka na kupayuka?Kuijali kwa maneno tu.
Mara zote amekua akiambia kuwa Bei ya pembejeo imepanda Mara 3 wanaomba ashughulikie, lakini kimya. Leo anakuja na hili. Alipaswa aanze na pembejeo.
Sasa uniform za afisa ugani kwa sasa za nn? Kama mkulima kashindwa kununua pembejeo sababu ya Bei kubwa hizo uniform kazi yake inakua nn?
Umesema sawa na mm nilivyosema/nilichotaka kusemaMkuu unafikiri kwanini Sumry anataka kuacha kulima..?
Unafikiri kwa mkulima wa level ya sumry naye niwakutafutiwa masoko na serikali?..
Kilimo ni biashara na uwekezaji, binafsi naamini kilimo kufanywa na mtu masikini ni kuendelea kumfanya masikini tu...Kilimo naamini kinahitaji uwekezaji wa kulima kuanzia ekari 10 na kuendelea na sio chini ya hapo...Kulima ekari tano kushuka chini ni kutafuta chakula tu na hela ya kula..
Kilimo bila ya uwekezaji ni sawa na bure tu, masoko yaliyoko huko duniani yanahitaji constant supply ya mazao, ukiweza hili na dunia ikajua kila miezi fulani inaweza kupata say 1000ton lazima wateja waje, na kuzipata ton hizo kwa constant supply unahitaji uwekezaji sio hiki kilimo chetu cha kimasikini..
Mfano, kila siku asubuhi pale London wanahitaji fresh flower na unapaswa kujaza ndege, sasa mkulima wa hivi lazima awe bepari...
Zimbabwe baada ya kunyang'anya mashamba wazungu walishindwa kulima maana walitegemea kulima kwa jembe la mkono wakati wenzao waliwekeza..
Duniani nchi zilizoendelea kilimo kinafanywa na wafanyabiashara wakubwa matajiri sio watu masikini, maana yake ni nini, Kilimo kinahitaji uwekezaji mkubwa ndio tafsiri....
Ni mara chache sana kilimo kinamtajirisha mtu masikini, kilimo kinawezekana tu kufanywa na matajiri...
Wanazo walimu,watenda kata nk kwa hiyo sio mara ya kwanza kwa serikali kutoa pikipiki.Hizo pikipiki zitadumu ushangae
Imagine pikipiki baada ya miaka 2 inakuwa yako unaanzaje kuifuja?
Ingawa hapa patakuwa na figisu hutoamini
Jibu la kijingaKwani pembejeo anazalisha Samia? Jaribuni kuelewa dynamics za biashara japo kidogo kabla huja post humu
Matapeli mpo wengi sn, we uleta mabanzi hapa unaita madarajaHuwa hamkosekani 🤣🤣
Robot umekuja,Do you have functioning mind? Unadhani kushughukikia ni kiropoka na kupayuka?
This is how we go
View attachment 2175524
Hakukuwa na maktaba kuwa baada ya muda fulani hicho chombo litakuwa mali yakeWanazo walimu,watenda kata nk kwa hiyo sio mara ya kwanza kwa serikali kutoa pikipiki.
Angalau anataja taja wakulima...Japo kama nilivyosema sijaiona nia ya kweli kwa watu hawa wa hii wizara kuleta mapinduzi...Mbinu zao tu zinaonyesha hutegemei kubwa lolote zaidi ya kutaka kura kutoka kwa wakulima...Siasa nje njeKuijali kwa maneno tu.
Mara zote amekua akiambia kuwa Bei ya pembejeo imepanda Mara 3 wanaomba ashughulikie, lakini kimya. Leo anakuja na hili. Alipaswa aanze na pembejeo.
Sasa uniform za afisa ugani kwa sasa za nn? Kama mkulima kashindwa kununua pembejeo sababu ya Bei kubwa hizo uniform kazi yake inakua nn?
Hizo billions kama hazikulengwa kuongeza kura zingesaidia sana kilimo, tatizo kilimo ni screen saver nyuma yake kuna kutafuta kura kutoka kwa wakulima ndiyo shida inapoanzia hapo....Do you have functioning mind? Unadhani kushughukikia ni kiropoka na kupayuka?
This is how we go 👇
View attachment 2175524