Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 10,185
- 19,802
Shekhe tusiribiane moodHivi nyie mnaotetea ujinga ajira zenu mnazipataje? Hatari sana taifa kuwa na watu kama nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Shekhe tusiribiane moodHivi nyie mnaotetea ujinga ajira zenu mnazipataje? Hatari sana taifa kuwa na watu kama nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumapili ususahau kupendeza kiongoziO
Oyoooooooo, ccm chama la wanaaaa
Basi tulia ndani na dada yako huku mkiendelea kumsubiri mume wake arudi toka kazini
Usisahau saa 7 kufunua hotpot
Very sorry kama nimekukwaza mkuuShekhe tusiribiane mood
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Wanaamini Covid-19 imekwisha kwa jina la Yesu,Barakoa za nini sasa!
Baada ya kukaa uvunguni kwa zaidi ya siku 50..
Halafu hana hata chembe ya aibu..
Meko bhana.
Tutawafundisha postgraduate kwa onlineWakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa Vyuo Vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje,
mfano wanafunzi wanaosoma nchini Kenya, Uganda, Rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?