Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Magufuli pindi yuko njaini kuja Dodoma akiwa mkoani Singida alisema anafurahi haoni waliovaa barakoa, na kisema hata yeye havai na mkuu wa mkoa na walio katika msafara hawavai ni kuonyesha hatuogopi corona.

Leo tena dodoma naona ana discourage uvaaji wa barakoa kama njia ya kujikinga na maambukizi ya corona.

Naomba kufahamu anaoosema watu wachukue tahadhari ni tahadhari ipi ya kujikinga na corona ambayo magufuli anahamasisha raia wa nchi hii?
Sidhani kama anaijua RADHA YA CONDOM huyu mtu!
 
Tangu nisikie vyuo vikuu vinafunguliwa kesho kutwa nimeugua! Kama nchi hii bado inao wazee na viongozi wa dini wanaowapenda Watanzania, huu ni wakati kwa kusimama na kuonekana. Tupambane na korona; tuache kupambana na raia wenye mtazamo tofauti!
 
Mbona amesisitiza kuendelea kuchukua tahadhari....? Tuwe makini wandugu la sivyo wote tutaonekana 'nyumbu'..
 
Yote kwa yote dada umi mwalimu unastahili pongezi kwa kazi nzuri, nimpongeze Magufuli kwa kupata waziri shupavu
 
Na mimi leo nimeongea na washikaji zangu kwa njia ya mtadao yule wa Sweden kasema atanitumia Euro 2000, halafu nikaongea na mwingine yuko bara la ulaya sijui Canada, na yeye kasema atanitumia doal 3000 ili inisaidie kupamabana kwa kuwa nimewekwa karantinin na majirani zangu.
 
Na mimi leo nimeongea na washikaji zangu kwa njia ya mtadao yule wa Sweden kasema atanitumia Euro 2000, halafu nikaongea na mwingine yuko bara la ulaya sijui Canada, na yeye kasema atanitumia doal 3000 ili inisaidie kupamabana kwa kuwa nimewekwa karantinin na majirani zangu.
Na hiyo ndo dona kantre; mwendo wa kupiga vinyundo hadi wakome.
 
Unampigia simu rais mara 8 kwa siku, Ivi hukupewa job descriptions wakati wa ajira? kama mpango ni huo kuna haja ya uteuzi kweli
Hakuna cha job descriptions... Hakuna cha kutumia weledi... Hakuna cha kutumia busara binafsi...
Wewe piga simu ufuate maelekezo....
Unahoji hoji... Unatumbuliwa tu...
 
Umeandika kama demu mbovu anayejiona ni slayqueen


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenijibu kwa mwanamke alieshushwa cheo na kutoka mke hadi kuwa mchepuko. Anyway sababu umenijib mipasho na nimeanza nikujib mipasho yako halaf nakugonga fact mwishoni.

Narudia tena huyo Mzungu ambaye ana mud wa kupoteza kuja kushangaa nyugu badala ya kushangaa wanyama wakiwa kwenye natural habitat hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa ninamwamini sana Ummy kwenye swala la usimamizi wa Corona, huyu ni mwanamke wa nguvu sana na nadhani mme wake anajivuna sana huko alipo; ila hili la serikali kuingiza siasa na uchumi kwenye afya ya jamii kweli nadhani kuna mushkeli sana!. Inawezekana sana kuweka balance kati ya afya ya jamii na shughuli za uchumi lakini siyo one way.
 
Umenijibu kwa mwanamke alieshushwa cheo na kutoka mke hadi kuwa mchepuko.
Anyway sababu umenijib mipasho na nimeanza nikujib mipasho yako halaf nakugonga fact mwishoni.
Narudia tena huyo Mzungu ambaye ana mud wa kupoteza kuja kushangaa nyugu badala ya kushangaa wanyama wakiwa kwenye natural habitat hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha heri yako mwenzetu unafahamiana na wazungu kiundani zaid, itabidi ukawe katibu mkuu pale wizara ya mambo ya nje ili utaalamu wako usiende na maji kwenye nyuzi za jf


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom