Arudi afuate nini na wewe huwezi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Asile mbususu miezi 6??
 
Ni mwanamke yupi anayechukia anapobembelezwa au kuombwa msamaha?
Mbembeleze, Muombe msamaha atakuelewa na atakuja tena.

Kabla ya kumuita tena jiandae kisaikolojia kwa tendo la ngono usiwe na hofu wala dhaifu kiafya.

Kwa suala la kuacha punyeto , Uwe unapata mwanamke walau mara 1 au mara 2 kila wiki, Halafu tumia karafuu ilochemshwa ndani ya glasi moja ya maji asubuhi, mchana na jioni ndani siku 10 utaona mabadiliko ya uimara wa uume.

Kuna mti au majani ni machungu si sana kule KAGERA wanayaita KASINDANO au WETEME/KAWETEME huwa yanatibu CHANGO, MICHANGO, na MAGONJWA mengine ya TUMBO lakini zaidi sana yanaboresha "uume kusimama" na "kuwa imara",

Majani hayo yanafanana kidogo na dawa/mmea huitwao MSHUNSHU kwa mbali.
Yanatumika kwa kupondwa na kisha kulowekwa ndani ya maji kwa masaa 4-8, Baada ya hapo unakunywa Glasi 1 asubuhi, 1 mchana, na 1 Jioni kwa muda wa siku 3 na uhakikishe kila siku unaloweka mapya.

Kama tatizo ni sugu sana unaweza tumia kwa siku 7 mpaka 10.
 
Iyo kwa lugha nyingine tunasema kuwa bendera imepepea nusu mlingoti. Pole sana jamaa .
 
Sasa hapa ndio utaanza kuona madhara halisi ya punyeto,hili tukio litakuharjbu zaidi ya hiyo punyeto.

Pinyeto nii zoezi la uume haiwezekani uume ukose nguvu kwa sababu ua zoezi

Shida ni kuwa unapiga sana punyeto huku unaangalia porn,hqpo ndio shiida ilipo,hakuna mpiga pinyeto mwenye smartphone alafu asiangalie xxx,hapo ndipo mnajiuaa wazeee
 
Nyeto nimepiga tangu nipo darasa la 7 mpaka leo napiga na show napiga kama kawaida
Shida kubwa ya nyeto kwa upande wangu ni macho kuuma na kukosa nguvu tu basi, ila nikila carrot tatizo linaisha.
 
wee jamaa umenifurahisha sanaaa daah!
 
Huu utafiti usio rasmi hivyo nisidaiwe data zozote.

Utafiti huu unasema kwamba 40% ya vijana walioko JF waliingia kwa sababu ya kutafuta njia za kujinasua kutokana na kujichua sasa wakisearch wanakutana na maoni ya JF wakawa wanavutika nayo na kushawishika kusoma zaidi.

Wengine wakitafuta namna ya kujitoa kwenye majanga ya ajabu ajabu.

Kimsingi vijana wengi wameijua JF kwa sababu ya kutafuta njia za kujinasua katika raibu zao mbalimbali walizokuwa wakizifanya.

Hii ni kwa sababu watu wengi ambao wamekuwa wakiomba ushauri juu ya kuwacha mambo fulani utakuta hizo threat walizotoa ndio za mwanzo tokea wawe na Na ID hapa jf,hii ni ishara kwamba walikuja hapa na msukumo huo.
 
Kwa logic hio 40% ya wana JF ni wapiga Nyeto????
Anyway nilimiss sanaa JF...

Nakubaliana na mwamba hapo juu, Punyeto haina madhara kiasi hicho, ni matatizo binafsi, tusiijengee chuki, inaokoa vijana wengi pia..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…