Mimi sina porojo nyingi wala siko hapa kwa ajili ya kuchekesha:
ni hivi kama mnakumbuka week 3 zilizopita niliji introduce myself nikasema
I am 26 years na nimekua nikifanya huu mchezo wa kujilipua since niko standard 7 (2004 Shinyanga) mpaka namaliza degree yangu mwaka jana 2015 pale UDSM.
Nimekuja kushtukia mchezo baada ya kushindwa kucheza mechi na demu wangu mpya last month (yani nilimuandaa mpaka akalegea, ile naingiza tu wazungu hao na kwenda second round ikawa ishu)
(Siku ya mei mosi) nilitangaza kuwa nimefikisha Mwezi tangu niachane na punyeto.
Na nikaomba kama wana MMU wenzangu mzidi kunipa moyo juu ya
haka ka ugonjwa.
Sasa hii week nzima since j3 manzi wangu yupo MP halafu mie nikawa na maganzi kishenz, nimejikaza usiku na mchana... Aaaah leo uzalendo ukani shinda...
Kwanini nisijilipue kamoja ka fasta fasta kitandani mchana huu.. Hapa mwili mwepesi...
Demu wangu siishi nae, mie nimepanga yeye anaishi kwao bado..
Lengo la kuleta MREJESHO ni kuwapa changamoto zinazo tukumba sisi vjana tuliokua ADDICTED na hii kitu inahitaji niya ya dhati jamani kuachana nayo..
Anyway, I will do my Best niachane nayo, mwanzo mzuri (more than 40
days?) zaman ilikua kwa week hata mara tatu..
Wenu katika harakati za vijana kujitambua "NITAKUFA LINI"
Ahsanteni sana