Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,371
- 27,302
Hofu ya MunguMasharti yapi unayoongelea? hivyo vigezo kupunguza hekaheka akutane na mtu anayemtaka ila maisha ndio yaleyale!
Sasa ndo atake Inoccent boy wa watu tena inawezekana asiye na mtoto huku yeye ana mtoto 😂Si ana epuka kuingia mkenge tena bwashee 😊
Wanaungaunga tu hakuna lolote! Mtu mwenye nazo hana huo muda wa kuchambua mwanamke hivi 🚮Wanazo , utajuaje sasa hawana , na kama hawana wanakula nini😃
Kuna mod single mother mmoja ana mkazia sana mwamba😅😅😅Uzi wako umeungwa huku kwa @RRHONDO
Sasa bro ulitaka aandike aweHofu ya Mungu
Awe swala5
Msomi wa Quran
Mfariji
Mhudumiaji wa familia
Upendo
Ni kwamba ndo pepo yenyewe ama 😃
Ni mimi 💃🏽Kuna mod single mother mmoja ana mkazia sana mwamba😅😅😅
Tunaolala bar ndio tupoSasa bro ulitaka aandike awe
Mchawi
Analala bar
Anapiga mke
Malaya kupimdukia
Mwizi
Au??🤷🏽♀️
Muache mwamba afunguke😃Ni mimi 💃🏽
Ntakupiga nikuue ohoo..Tunaolala bar ndio tupo
Sijui alitendwa na singo maza🤭Muache mwamba afunguke😃
Hakuna haja ya picha, mana ukweli mnaujua kabisa.Picha tuone tulinganishe😎
Hiv ni kweli ni single maza ni wakorofi ? Kwa sababu sio Tanzania tu wanalalamika🤔Sijui alitendwa na singo maza🤭
Mhm sio kweli , nina ndugu yangu yeye kaolewa akiwa na 32 na mume wake ni rubani wapo Canada nowHakuna haja ya picha, mana ukweli mnaujua kabisa.
Mwanamke ukifikisha 30 na huna familia, mbaya zaidi huna mwanaume wa kueleweka, bc ujue Huna tofauti na mzoga
Kwangu mie si mingi,,, pia huo ni mtazamo wako sikupingi....Miaka 34 kwa mwanamke n mingi sana, Acha kujidanganya Dada.
Mwanamke akifikisha 30 huyu n mkubwa mno, Huwez kumfananisha na mwanaume mwenye 30.
Ndugu, mwanamke akiwa na 30 huyo n mkubwa mno, zingatia hilo.Mhm sio kweli , nina ndugu yangu yeye kaolewa akiwa na 32 na mume wake ni rubani wapo Canada now
Kwamba ulitaka mwanamke nmlinganishe na umri wa mamba au tembo?Kwangu mie si mingi,,, pia huo ni mtazamo wako sikupingi....
Na kwa Nini ulinganishe jinsia mbili tofauti?
Mzoga? Like what does he bring into my life kwamba asipokuwepo sipati pumzi vizuri or whatt?? Lols 😆Hakuna haja ya picha, mana ukweli mnaujua kabisa.
Mwanamke ukifikisha 30 na huna familia, mbaya zaidi huna mwanaume wa kueleweka, bc ujue Huna tofauti na mzoga