Pongezi kwenu Single Mothers

Pongezi kwenu Single Mothers

Mhm sio kweli , nina ndugu yangu yeye kaolewa akiwa na 32 na mume wake ni rubani wapo Canada now
Ndugu, mwanamke akiwa na 30 huyo n mkubwa mno, zingatia hilo.

Hayo mengine n majaliwa, miaka 30 Sio kwamba atakosa fursa za kimaisha ila kiumri huyo n mkubwa mno.
 
Hakuna haja ya picha, mana ukweli mnaujua kabisa.

Mwanamke ukifikisha 30 na huna familia, mbaya zaidi huna mwanaume wa kueleweka, bc ujue Huna tofauti na mzoga
Mzoga? Like what does he bring into my life kwamba asipokuwepo sipati pumzi vizuri or whatt?? Lols 😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom