Pongezi kwenu Single Mothers

Pongezi kwenu Single Mothers

Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.

One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.

Single mother is a parent who stayed when things went awry and the man walked away. The single mother stood by her children and took the challenge head on! To me a single mother is the definition of wonder woman. Her salary and everything is not hers but belongd to her children.

She is the man and woman of the house, she pays the bills single-handedly, draws up family budget and ensure the salary lasts up to next pay. You can not compare a single mother to a married woman who has support of a husband from home to paedriatic win

Single mother watch over her son/daughter all by herself and still make it to work next day and whenever the children begin to ask 'where is daddy?' she has to come up with an answer solid and wise enough for the sake of peace and to protect her children

Yet the society ostracizes the single mother and 'slut-shames' her! Why is she a single mother? Cant she keep a man? And how dare she have children before marriage? We dont know maybe she left an abusive marriage to protect her children from a violent childhood. Or we dont realize she is the parent who stayed when the man walked out on her and refused even to take care of the children. We dont even think may be she is a widow!

We dont celebrate single mothers enough because their strength and tenacity intimidate us and we are left wondering how can a woman possess so much strength? And when she decides to get herself out there and meet new man we tell her she is too old, used to get a man! She is damaged goods. That she has too much buggage and she should be happy alone.Some even say she doesnt deserve dowry! We give her side eye as if single mothers do not deserve love.

We call her a loose woman for having children by one man and going out with another yet we celebrate men with children from different women! This has to stop

I SALUTE ALL STRONG SINGLE MOTHERS OUT THERE

Source: The Citizen.

******* Pongezi kwa Single Mother**********

Wanachama mbalimbali wakielezea mahusiano yao mazuri na Single Mothers

********** Alivyozama kimapenzi kwa Single Mother*****

********* Mdau awaasa Wanaume wasiwanyanyase Single Mothers**********

******

*******

*******
Mwenzio anasema anajikubali kwanini asiweke vigezo
 
UKWELI AMBAO HAKUNA ANAYEKUAMBIA KUHUSU KUOA SINGLE MOTHER

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Wanaume wengi huingia kwenye mahusiano na single mothers kwa moyo wa huruma na upendo, wakiamini mapenzi yatatosha kubeba kila kitu.
Lakini ukweli ni huu: huoi mwanamke pekee yake unaoa historia yenye mshirika nyeti, maamuzi yaliyopita, na maisha ambayo tayari yameanza bila wewe.
Na kama hujajiandaa, mapenzi hayo yanaweza kuwa mwanzo wa majuto makubwa kuliko ulivyowahi kufikiria.

Leo Mtibeli ninakuletea mambo ambayo hakuna atakayekuambia kuhusu kuoa single mother;

1. HAUINGII PEKE YAKO KWENYE MAPENZI
Unapoingia kwenye maisha ya single mother, hauingii kwenye mapenzi ya watu wawili tu. Unaingia kwenye mapenzi ya pembetatu. Ambayo ni very complicated Sana. Yanahitaji uwe umejiandaa vya kutosha.

Unaingia kwenye mfumo ambao tayari una historia, maamuzi, na majeraha yake.
Lazima ujue Mtoto ni sehemu kuu ya maisha yake, na hatakuwepo pembeni akiwaacha ninyi wawili. yupo katikati yenu.

Kila uamuzi utakaochukua utawaathiri zaidi ya nyinyi wawili.
Huwezi kuanza upya ukurasa mtupu, bali unaendelea pale alipofikia.

Hivyo lazima ukubali kuwa unaingia kwenye “familia iliyokwisha anza,” si kuanzisha mpya kabisa familia yako.

2. MAPENZI HAYATOSHI. USITEGEMEE MAPENZI UNAPOMUOA SINGLE MOTHER.

Wanaume wengi huingia wakiamini hisia kali zitabeba kila kitu. Ooh! Nimemwona ni dada muungwana anayejielewa. Ananipenda. Ooh! Hata mimi nampenda.

Lakini mapenzi bila uwezo wa kubeba majukumu hugeuka mzigo.
Lazima ujue Kuna gharama za mtoto, muda, na nguvu za kihisia zinazohitajika kila siku.
Siku hisia zinapopungua, wajibu hubaki kuwa mzito zaidi.
Hisia zako za mapenzi ni mwanzo mzuri, lakini sio mfumo wa kuendesha maisha.
Ukweli huu lazima uujue responsibility(kubeba majukumu) ndiyo injini, mapenzi ni mafuta tu.

3. UHUSIANO USIOONEKANA: BABA WA MTOTO NI KITISHO KINGINE KIKUU.
Hata kama hayupo karibu, uwepo wake hauwezi kufutika kabisa. Huwezi kufuta uwepo wa Mzazi mwenzake katika maisha yake na mtoto.
Atabaki kuwa sehemu ya maamuzi yanayomhusu mtoto.

Mawasiliano yao yanaweza kuathiri amani ya mahusiano yenu.
Wivu, mashindano ya kimyakimya na kukulinganisha na Mzazi mwenzake , au heshima vinaweza kujitokeza.

Unahitaji akili ya kutambua mipaka bila kuingia kwenye vita visivyo vyako.
Hii triangle ya wewe, single mother na Mzazi mwenza(mtoto wake) lazima uikubali tuu.

4. MTOTO SIO WAKO LAKINI ATAKUHITAJI KAMA BABA
Hapa wengi hunipigia simu kwani matatizo mengi hutokea hapa.
Lazima ujue na ukubali kuwa mtoto atahitaji upendo, ulinzi, na uwepo wako kama mzazi. Lakini ndani yako unaweza kupambana na ukweli kuwa si damu yako.

Ukijitoa sana, unaweza kuumia sana kama mambo yataharibika. Na uwezekano wa kuharibika ni Mkubwa kwani hiyo ni nature na ukweli kwamba sio mtoto wako.

Ukijitoa kidogo, unaweza kuonekana huna moyo wa upendo au unamkataa mtoto.
Hii ni mizani ngumu inayohitaji ukomavu wa hali ya juu.

5. MAKOSA YA Huruma
Aiseeh niliwahi kulisemea hili. Wanawake huonyesha Sura za unyonge, upole na mpaka machozi ili wapate huruma ya wanaume wasiotumia Akili.

Wanaume wengi huingia wakiongozwa na huruma badala ya uhalisia.
Huona mateso aliyopitia mwanamke na kuamua “kumwokoa.”
Lakini ndoa si mradi wa uokoaji, ni ushirikiano wa watu wawili.
Huruma ni hisia. Huruma inapopungua, ukweli wa majukumu huanza kuonekana mzito.
Unaweza kujikuta umebeba mzigo ambao hukujiandaa nao.
Chagua kwa akili na uelewa, si kwa hisia za muda mfupi.
Hadithi yoyote ya mwanamke au Hali yake isikufanye upate huruma. Ni mtego

B. Ishara za Hatari Unazotakiwa kuziona ukiwa na single mother;

✓ Drama za mara kwa mara na mzazi mwenzake ni dalili mbaya.
✓ Kama anakulazimisha majukumu mapema, hiyo ni pressure isiyo sahihi.
✓ Kukosa heshima au kupuuza mipaka yako ni ishara ya tahadhari.
✓ Kila mazungumzo yake huzungumzia matatizo badala ya suluhisho pia ni dalili mbaya.
✓ Mtoto asiye na nidhamu bila jitihada za kumlea vizuri ni changamoto. Single mother anatetea ujinga wa mtoto wake na hataki umfundishe maadili.

Kama ukiona ishara hizi mapema, ni bora kufikiria mara mbili kabla ya kuendelea.

C. NI NANI ANAFAA KUOA SINGLE MOTHER?

I) Ni mwanaume aliye tayari kisaikolojia, si kwa maneno tu bali kwa vitendo.

ii) Awe na uthabiti wa kifedha ili asiingie kwenye shinikizo la kiuchumi katika maisha. Kumbuka jukumu la kumtunza mtoto wa single mother ni lako. Akifanya mwanaume mwingine jua mnakuwa Mume mwenza.

iii) Awe na uwezo wa kudhibiti hisia na kukabiliana na changamoto za mahusiano. Sio unaoa single mother alafu hutaki awasiliane na Mzazi mwenzake. Nafikiri upo wodi ya uzazi wakati wewe unaumwa jino.

iv) Awe na uelewa wa jukumu la kuwa baba hata kama ukweli unaonyesha sio Baba Mzazi.

v) Awe na maisha yanayoeleweka sio anayejitafuta kimaisha.

Vi) Aelewe kuwa Siku ukiachana na Hugo single mother unakosa mke na mtoto kwa sababu huyo sio mtoto wako.

vii) Aelewe kuwa Mtoto akikua anahaki ya kumchagua Baba yake Mzazi dhidi yake.

Nimalize kwa kusema;
Kuoa single mother si kosa, wala si laana kama wengine wanavyodhani.
Lakini ni uamuzi mgumu unaohitaji macho yasiyoongozwa na tamaa, umakini na moyo mgumu.
Kila hatua ina uzito wake, na kila uamuzi una matokeo yake. Ukichagua kwa uelewa, unaweza kujenga familia imara sana. Lakini Ukikimbilia kwa hisia kwa kuangalia Chura, sijui mapaja manene, Sijui chuchu konzi unaweza kujikuta kwenye majuto mazito.

Kufikia hapa sina la ziada
Kheri ya Pasaka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Single mother anaweza kuwa na sifa zaidi kuliko asiye na mtoto.
Ila ukweli ni je mwanaume umejiandaa kikamilifu kimajukumu?
mwanaume mwenzio kakaa naye akamzalisha, hujiulizi kwa nn wameshindwana? na ndio maana unakuta mwanamke anaachika mara 4 5 kwa sabab kuna hisia kuwa ndio maana flan kashindwa kuishi na huyu jini
 
Mapenzi hayana fomula jombaa acheni hizi ngonjera!!

Watu wanaolewa hadi mabikira ila bado sinema zakutosha huko ndoani
 
Single mothers tutakoma. hata hivyo nimetoka kuumizwa vipi nanwewe unileteee mambo meusi
Single mothers mlitakiwa kuonyesha mfano bora kwenye mahusiano sababu mmepungukiwa sifa za kike, lakini nyinyi mmekua mwiba zaidi kuliko fresh women. Na hii itapelekea kushindwa kabisa kuingia kwenye mahusiano yanayoeleweka sababu watu watawabagua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom