Pongezi kwenu Single Mothers
Kazi kwishaaa....mtu Mmoja ajitokeze akamfute machozi huu single mama

Haya wadau nimewarahisishia badala ya kwenda huko fb issue ishie hapa tu wenzetu swala Tano mnahitajika.

Ila single mother kwa mashart mmezidi haya mashart ni ngumu sana kuambiwa na Binti asiye used. Anyway kimfaacho mtu ni chake.

Mjumbe hauawi
Screenshot_20260327-102049.png
 
Kazi kwishaaa....mtu Mmoja ajitokeze akamfute machozi huu single mama

Haya wadau nimewarahisishia badala ya kwenda huko fb issue ishie hapa tu wenzetu swala Tano mnahitajika.

Ila single mother kwa mashart mmezidi haya mashart ni ngumu sana kuambiwa na Binti asiye used. Anyway kimfaacho mtu ni chake.

Mjumbe hauawi View attachment 3563263
kuoa single mother ni ngumu
 
Back
Top Bottom