Pongezi kwenu Single Mothers

Pongezi kwenu Single Mothers

Mapenzi hayana fomula jombaa acheni hizi ngonjera!!

Watu wanaolewa hadi mabikira ila bado sinema zakutosha huko ndoani

Uoe bikra alafu upewe sinema. Kesi hiyo itaripotiwa ndoa moja kaa miamoja kaa miaka kumi.

Lakini huko pengine ni fifty-fifty na Kila Siku.

Mapenzi yanafomula kama yalivyo mambo mengine.
Wanaosema mapenzi hayana formula ni watu ambao hawana formula kwenye chochote kile wanajiendea endea katika mambo yao.
 
Single mothers tutakoma. hata hivyo nimetoka kuumizwa vipi nanwewe unileteee mambo meusi

Single mother mnahitaji wanaume ambao wanachukulia mambo kiuhalisia sio wanaume legelege wanaojiendea endea kibahati bahati.
Hasa mwanaume anayekuambia mapenzi hayana formula au maisha hayana formula. Kisa kuna errors zinazotokea kwenye baadhi ya formula
 
mwanaume mwenzio kakaa naye akamzalisha, hujiulizi kwa nn wameshindwana? na ndio maana unakuta mwanamke anaachika mara 4 5 kwa sabab kuna hisia kuwa ndio maana flan kashindwa kuishi na huyu jini

Wanaume wengine ni waonevu Sana. Wanyanyasaji, lakini pia wanatumia vibaya mamlaka Yao.

Lakin bado kosa linabaku palepale kwa mwanamke inakuwaje alimchagua mwanaume wa Aina hiyo.
 
Hua nashangaa hata mwanaume akitaka kuoa single mothers wanawake wanamzuia 😇😇

Kuna binamu yangu alioa mwanamke na mtoto. Akina mama, mashangazi wanamaindi mpaka leo. 😁
Hawajawahi mkubali yaani.
 
Uoe bikra alafu upewe sinema. Kesi hiyo itaripotiwa ndoa moja kaa miamoja kaa miaka kumi.

Lakini huko pengine ni fifty-fifty na Kila Siku.

Mapenzi yanafomula kama yalivyo mambo mengine.
Wanaosema mapenzi hayana formula ni watu ambao hawana formula kwenye chochote kile wanajiendea endea katika mambo yao.
Mdau wewe umeoa?
Ndoa ina miaka mingapi?
 
Wakuu, sote tunafahamu kuwa habari ya mjini kwa sasa inayotreand sana ni hii ya single mothers. Utasikia, single mother hivi,single mother vile, je nini chanzo cha hawa single mothers na nini kifanyike kuthibiti kundi hili linaloongezeka kwa kasi ya 7G? Mjadala huu ni wa wote hata nyie single mothers toeni maoni yenu. NAOMBA KUWASILISHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom