KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,307
- 5,768
Nipo sasa karibuHamna shida,
Samahani kaka KERATO MOMBAA tulikuwa tunakuomba mara moja kuna jambo tunataka kukushirikisha mimi na ndugu zangu wawili, utakuwa na muda sangapi ili tuyajenge
Nipo sasa karibuHamna shida,
Samahani kaka KERATO MOMBAA tulikuwa tunakuomba mara moja kuna jambo tunataka kukushirikisha mimi na ndugu zangu wawili, utakuwa na muda sangapi ili tuyajenge
Siwezi kukukatalia au kukukubalia mkuuNikabidhi binti mmoja mkuu nimlinde
Mhh acha kuingia woga sister 😂Anaogopesha unajua😱 mwambie dosho aje hata na ka bahasha kenye laki😟
Baba mtu ukipambana na shangazi mtu kwa mwanao, hakika baba mtu utadunda!Hapana mkuu naomba uongee na mwakilishi wa familia Seran
Natetemeka makebo uwii😱Mhh acha kuingia woga sister 😂
Dahh kwahiyo umetutolea nje mzee wetu😒Baba mtu ukipambana na shangazi mtu kwa mwanao, hakika baba mtu utadunda!
Kama na mashangazi wameingilia hili game ni zito!
Ngoja nimuite Binti wa zamani aje hapa aone unavyoyageuka makubalianoHuyu mdogo wangu Harmful ana barua ya wazi kuleta kwako kuhusu mmoja wa mabinti zako, tunaomba umfikirie kidogo mkuu
Makubaliano yapi tena hayo niliyoyageuka mkuu🤣Ngoja nimuite Binti wa zamani aje hapa aone unavyoyageuka makubaliano
Siwezi kukataa au kukubaliDahh kwahiyo umetutolea nje mzee wetu
HahahahahahahaaaMakubaliano yapi tena hayo niliyoyageuka mkuu
Usikute ndio mimi mwanao mkubwa, anyways.. tunamsaidiaje huyu dogo anataka mke?🤔Siwezi kukataa au kukubali
Bint Mkubwa yupo kazn
Binti wa pili yupo chuoni
Huyu wa tatu kamaliza advance
Umepata kazi lini 😂Usikute ndio mimi mwanao mkubwa, anyways.. tunamsaidiaje huyu dogo anataka mke?🤔
Aanh mbona unachana mkeka sasa! Utakosa mke!! We hunyamazi kwani😂Umepata kazi lini 😂
Me kimyaaa ila 😂🙌🏾Aanh mbona unachana mkeka sasa! Utakosa mke!! We hunyamazi kwani😂
Hebu tulia na ukae kimya🤫Me kimyaaa ila 😂🙌🏾