Pongezi kwenu Single Mothers

Pongezi kwenu Single Mothers

Wakuu, sote tunafahamu kuwa habari ya mjini kwa sasa inayotreand sana ni hii ya single mothers. Utasikia, single mother hivi,single mother vile, je nini chanzo cha hawa single mothers na nini kifanyike kuthibiti kundi hili linaloongezeka kwa kasi ya 7G? Mjadala huu ni wa wote hata nyie single mothers toeni maoni yenu. NAOMBA KUWASILISHA
Mada zile zile
 
Natamani niseme kitu, lakn nakumbuka nina mabinti wakubwa sana watatu na binti mwenye umri mdogo ana miaka 18...
Nikisema niwasodoe wanaume wenzangu nakumbuka nina vijana wakiume wakubwa watatu.

Busara zinaniongoza kunyamaza ili wasione kuwa wana baba wa ajabu ukizingatia majina yangu ni halisi.
 
Umetumia busara kwa sababu una hekima! Huwezi kushindana na hawa chipukizi vijana wasiojitambua na wala hawajui maisha! Kuropoka tu ndio wanajua saa ingine ukooni kwake kumelundikana masingo maza ya kila rangi, basi tu kutafuta attention za kijinga!
 
Kila wakileta zinaungwa kama mechi za ugenini
Singo maza singo maza vijana wenyewe sasa
20260531_003735.jpg
 
Uzi umeungwaungwa mpaka wasomaji tunapoteana hatujui tuanzie wapi pa kusoma, huu utaratibu wa kuungaunga nyuzi zenye maudhui yanayofanana si mzuri kwa wasomaji, unachanganya mtiririko wa usomaji
 
Ziungwe tu tumechoka mada ileile maoni yaleyale kila kukicha!
 
sie tunataka kukomesha usingo maza, wanawake ni sharti wawe na waume zao, hao watoto tunataka wapate malezi ya wazazi wote wawili, hata baba wa kambo awepo nyumbani kama baba wa ukweli amekimbia au kukimbiwa na mke. Baba ni muhimu ndani ya nyumba hata kama akiwa boya, wa kuzugia sauti yake watoto waisikie ina umuhimu wake
 
Hiyo kampeni anzeni kwa kujipigia ninyi watunga mimba za hovyo! Kama kweli hamtaki singo maza mitaani kateni hiyo mirija yenu fanyeni vasectomy ili iwe kazi rahisi, kulomba mnalomba hamtumii hata kinga ila bado analaumiwa mwanamke aliyebeba mimba?
 
Mwanamke kuishi peke yake bila mwanaume huku ana watoto huo ni ujeuri, atafute hata boya wa kuishi naye italeta heshima kuwa huyo mwanamke naye ana mume, hataonekana ni malaya, kahaba na changudoa. Kuna wanaume huoa wanawake wengi aolewe huko kuliko kuishi kibishi huku ana watoto mpaka wa kiume. Watoto wa kiume wanahitaji malezi ya kibabababa siyo ya kimamamama. Ewe single mother usiishi maisha ya kibishi kamata hata mume wa mtu ili watoto wako wa kiume waone kuna mwanaume nyumbani
 
Njoo tukukamate wewe basi🤣🤣🤣
 
Natamani niseme kitu, lakn nakumbuka nina mabinti wakubwa sana watatu na binti mwenye umri mdogo ana miaka 18...
Nikisema niwasodoe wanaume wenzangu nakumbuka nina vijana wakiume wakubwa watatu.

Busara zinaniongoza kunyamaza ili wasione kuwa wana baba wa ajabu ukizingatia majina yangu ni halisi.
Nikabidhi binti mmoja mkuu nimlinde 🙌🏾
 
Kuna masingo maza wanajiweza kiuchumi ila wanaonekana ni kitisho, watanyanyasa waume zao watakapokuja kuishi nao kwenye nyumba ya mwanamke. Single mothers hawaaminiki kwenye mahusiano ya kindoa kama wazazi wenza wapo hai duniani, viporo hupashwa! Labda hao wazazi wenza wawe hawapo duniani kidogo itapunguza wasiwasi. Kuoa single mother lazima uwe mbabe na uwe na uchumi imara kuliko mzazi mwenza hapo utaweza kumdhibiti singo maza asiweze kuwasiliana na kukutana na mzazi mwenza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom