Nimezama kwenye mapenzi na single mother

Nimezama kwenye mapenzi na single mother

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,527
Reaction score
7,320
Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10 halafu anatokea single mom anauteka moyo wangu kiurahisi hivi kwahiyo nitaishi hivi bila kuchakata bikra? Kingine huyu single mother anaonesha kujali japo ashaanza kuona mapungufu yangu ya kijamii kama kutokujiamini kwangu na kuwaogopa maboss zangu kazini karibuni kwa ushauri wenu
 
78536.jpg
 
Kwanza kama unamkataa huyo singomaza kisa bikra!!! Dogo bikra huwezi kupata labda ufanye ubakaji,ukabake katoto kenye miaka 10...
Sisi wenye miaka 40+ ndiyo watu wa mwisho kuzifaidi bikra...
Kama mtoto hajafikisha miaka 7 muoe then nenda mahakaman muite baba halisi wa mtoto ili akukabidhi kila kitu kuhusu mtoto au amchukue...
Vinginevyo mwambie huyo singo maza achague kati yako na mtoto au aendelee na baba mtoto wake
 
Asante kwa ushauri kaka
 
Inaonekana kaka Maweed una uzoefu mkubwa kwenye hayo mambo swali ni kuwa nawezaje kuishi naye ilihali ashajua madhaifi
 
Back
Top Bottom