Pongezi kwenu Single Mothers
Natamani niseme kitu, lakn nakumbuka nina mabinti wakubwa sana watatu na binti mwenye umri mdogo ana miaka 18...
Nikisema niwasodoe wanaume wenzangu nakumbuka nina vijana wakiume wakubwa watatu.

Busara zinaniongoza kunyamaza ili wasione kuwa wana baba wa ajabu ukizingatia majina yangu ni halisi.
Usijifiche kwenye hicho kichaka ndg yangu, kama ni aged huwezi kukosa ushauri kisa watoto.
 
Back
Top Bottom