Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.
Walitofautiana kwenye mambo ya kimapenzi hivyo walitengana less than two years ago, they were still working on official separation/divorce lakini ilikuwa bado haijatoka. Marehemu Madoda kama mwanamke alikuwa na haki zote za kuwa na girlfriend ambapo bahati ilimuangukia Catherine Magige ambalo ni jambo jema kabisa. Kwa bahati mbaya sana mambo yakiwa hayajakamilika pande zote bwana Madoda umauti ulimkuta ghafla akiwa kwenye mahusiano motomoto na Catherine.
Catherine aliona ana haki zote za ku-host msiba wa Madoda kama Mume wake akiwa any matrimonial bond either ndoa, watoto ama hata nyumba ya kuishi ambayo ni shared. Huku the original wife wana nyumba, watoto, ndoa na biashara.
Hivyo basi automatically msiba umekwenda nyumbani kwa Mke wa Madoda na mwili umelala huko leo ukiagwa na kupumzishwa na Catherine akiwa hana access kabisa ya kuhudhuria, kuaga, kuzika wala kuweka taji. Atabaki analia mwenyewe nyumbani kwake na mashost zake.
FUNZO: Yote yaliyotokea kwa Catherine kuwa na Madoda, kuishi nae haina kosa kabisa kwani alikuwa ametengana na mkewe na akamkuta Catherine yuko mwenyewe hapa hakuna shida yoyote. Kosa la Catherine ni mitandao ambayo alikuwa anaitumia kujimwambafai na mtu ambae bado ana pending issues na mke wake.
Catherine alikuwa ni mtu kurusha kila wanachofanya kwenye instagram kwamba ni Mumeo kumbe bado hajawa official. Pia hukutakiwa kuingilia ugomvi wao na kuanza kumtukana original wife. Wewe bado ni mdogo Mungu atakubariki utapata mume mwingine ila kama atakuwa Divorcee basi kula kimya kimya uache mbwembwe.
Poleni sana sisi tunajiandaa kwenda kumuaga Mume wako Madoda na kwenda kumpumzisha shambani kwake Nduruma.
MWISHO: Madoda kamaliza safari yake hapa duniani hivyo nawe zika mambo yote. Achana na mashost zako ambao watataka kuliendeleza hili swala. Madoda keshakufa hatarudi tena hivyo futa kila kitu.