Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Nduka Original

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
882
1,000
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.

Walitofautiana kwenye mambo ya kimapenzi hivyo walitengana less than two years ago, they were still working on official separation/divorce lakini ilikuwa bado haijatoka. Marehemu Madoda kama mwanamke alikuwa na haki zote za kuwa na girlfriend ambapo bahati ilimuangukia Catherine Magige ambalo ni jambo jema kabisa. Kwa bahati mbaya sana mambo yakiwa hayajakamilika pande zote bwana Madoda umauti ulimkuta ghafla akiwa kwenye mahusiano motomoto na Catherine.

Catherine aliona ana haki zote za ku-host msiba wa Madoda kama Mume wake akiwa any matrimonial bond either ndoa, watoto ama hata nyumba ya kuishi ambayo ni shared. Huku the original wife wana nyumba, watoto, ndoa na biashara.

Hivyo basi automatically msiba umekwenda nyumbani kwa Mke wa Madoda na mwili umelala huko leo ukiagwa na kupumzishwa na Catherine akiwa hana access kabisa ya kuhudhuria, kuaga, kuzika wala kuweka taji. Atabaki analia mwenyewe nyumbani kwake na mashost zake.


FUNZO: Yote yaliyotokea kwa Catherine kuwa na Madoda, kuishi nae haina kosa kabisa kwani alikuwa ametengana na mkewe na akamkuta Catherine yuko mwenyewe hapa hakuna shida yoyote. Kosa la Catherine ni mitandao ambayo alikuwa anaitumia kujimwambafai na mtu ambae bado ana pending issues na mke wake.

Catherine alikuwa ni mtu kurusha kila wanachofanya kwenye instagram kwamba ni Mumeo kumbe bado hajawa official. Pia hukutakiwa kuingilia ugomvi wao na kuanza kumtukana original wife. Wewe bado ni mdogo Mungu atakubariki utapata mume mwingine ila kama atakuwa Divorcee basi kula kimya kimya uache mbwembwe.

Poleni sana sisi tunajiandaa kwenda kumuaga Mume wako Madoda na kwenda kumpumzisha shambani kwake Nduruma.

MWISHO: Madoda kamaliza safari yake hapa duniani hivyo nawe zika mambo yote. Achana na mashost zako ambao watataka kuliendeleza hili swala. Madoda keshakufa hatarudi tena hivyo futa kila kitu.
 

jembejembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
640
1,000
Msiba wa marehemu Kudula Madoda anayedaiwa kuwa mchumba wa mbunge wa viti maalumu Catherine Magige, umetawaliwa na vituko ya aina yake Mara baada ya Magige na kundi lake kuvunja geti ili kushiriki maziko ya marehemu baada ya kuzuiwa.

Marehemu Madoda amezikwa leo katika shamba lake eneo la Nduruma, ambapo katika mazishi hayo yaliyoratibiwa na ndugu wa marehemu Magige hakutakiwa kuingia kaburini na wapambe wake baada ya familia hiyo kueleza kwamba watakaoingia kaburini ni wachache.

Hata hivyo Mbunge Magige akiwa na kundi lake aliamua kuvamia kwa kuvunja lango la kuingilia ndani ya shamba Hilo na kufanikisha kushiriki mazishi kwa kuweka shada la maua kaburini.

Watu walipokuwa kwenye kaburi walijawa na taharuki kuona Mbunge huyo akiongoza kundi la wanawake kuingia ndani ya shamba ambako mwili wa marehemu ulizikwa.

Kabla ya mazishi hayo Magige alidai marehemu alikuwa mchumba wake lakini ndugu wa marehemu wakidai huyo alikuwa mwizi Kama wezi wengine wa wanaume na familia inamtambua mke halali wa marehemu ni Aziza Msuya.

Marehemu ameacha watoto watatu wa mke wake wa ndoa Aziza Msuya aliyefunga naye ndoa ya kikristu mwaka 2003 mjini Dodoma.
 

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,320
2,000
Mbune Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda Ex Tra Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamilili kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ua umauti haujamkuta. Walinza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.

Walitofautiana kwenye mambo ya kimapenzi hivyo walitengana less than two years ago, they were still working on official separation/divorce lakini ilikuwa bado haijatoka. Marehemu Madoda kama mwanamke alikuwa na haki zote zakuwa na girlfriend ambapo bahati ilimuangukia Catherine Magige ambalo ni jambo jema kabisa. Kwa bahati mbaya sana mambo yakiwa hayajakamilika pande zote bwana Madoda umauti ulimkuta ghafla akiwa kwenye mahusiano motomoto na Catherine.

Catherine aliona ana haki zote za kuhost msiba wa Madoda kama Mume wake akiwa any matrimonial bond either ndoa, watoto ama hata nyumba ya kuishi ambayo ni shared. Huku the original wive wana nyumba, watoto, ndoa na biashara.

Hivyo basi automatically msiba umekwenda nyumbani kwa Mke wa Madoda na mwili umelala huko leo ukiagwa na kupumzishwa na Catherine akiwa hana access kabisa ya kuhudhuria, kuaga, kuzika wala kuweka taji. Atabaki analia mwenyewe nyumbani kwake na mashost zake.

FUNZO: Yote yaliyotokea kwa Catherine kuwa na Madoda, kuishi nae haina kosa kabisa kwani alikuwa ametengana na mkewe na akamkuta Catherine yuko mwenyewe hapa hakuna shida yoyote. Kosa la Catherine ni mitandao ambayo alikuwa anaitumia kujimwambafai na mtu ambae bado ana pending issues na mke wake.

Catherine alikuwa ni mtu kurusha kila wanachofanya kwenye instgram kwamba ni Mumeo kumbe bado hajawa official. Pia hukutakiwa kuingilia ugomvi wao na kuanza kumtukana original wife. Wewe bado ni mdogo Mungu atakubariki utapata mume mwingine ila kama atakuwa Divorcee basi kula kimya kimya uache mbwembwe.

Poleni sana sisi tunajiandaa kwenda kumuaga Mume wako Madoda na kwenda kumpumzisha shambani kwake Nduruma.

MWISHO: Madoda kamaliza safari yake hapa duniani hivyo nawe zika mambo yote. Achana na mashost zako ambao watataka kuliendeleza hili swala. Madoda keshakufa hatarudi tena hivyo futa kila kitu.
Aziza Hana influence Kama Cath ndo maana waona wako kimya.

Ingekuwa Cath Hana influence ungeona salamu za pole kila Kona Kama napata
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,107
2,000
Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria
Ubunge unampa kiburi, asingekuwa Mbunge asingeleta taharuki hii.

Kupitia msiba huu wa hawara lazima kashapiga pesa nyingi za wabunge wenzio kwa mgongo wa rambirambi, ili kuhalalisha hili ndio kaamua kutumia nguvu kushiriki kuzika
 

The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
12,222
2,000
Huyu Magige awali alikuwa mchepuko wa Mamvi kisha akahamia kwa Kagasheki sasa anamng'ang'ania hayati?

Lazima ana pepo huyu na hapo ukute waliomsindikiza ni wale Covid 19!
Nasikia hata tajiri wa mabasi wa Dodoma ambaye pia ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.

Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae

Pia nasikia mbunge Fulani wa huko Geita alijiburuza nae

Si Haba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom