Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Changudoa siku zote hana haki hata kama mume wa mtu kafia nyumbani kwako basi wewe ni selo tu maana ni muharibifu. Uliona wapi changudoa ana haki?
Kama mke wake angekuwa hana kasoro asingehama nyumba kwenda kwa changudoa. Huyo mke inaonekana ni ile type ya wanawake ambao ukimkosea husamehewi hata miezi 6 au mwaka yaani gubu tu. Kitendo cha kuchukua shada la maua na kutupa yaan ni anaroho mbaya hatari
Ulishawahi kuishi nyumba yenye mke mwenye makelele???
 
Nimeishi na mwanamke wa hivyo mpaka niliamua kusurrender ndoa. Mwanamke anaweza kununa hata miezi miwili mpaka unashangaa ana mapepo au nini? Ni kichaa kabisa nikaona huyu ni narcissistic simuwezi atakuja kunitilia sumu bure na vile ametokea Ile Kanda yenye hiyo history kwa wanawake zao nikaacha kila kitu. Sasa hv raha mustarehe.
 
Mkuu yaan unayo experience ya kutosha. Mimi nasema ukimuona mwanaume anachepuka usikimbilie kumlaumu jaribu kufahamu yaliyopo ndani.
 
Acha kabisa ilinicost sana Ila ilibidi kuachana nae tu na akikaa na watu akiongea wanamuamini kabisa sasa wakija kuniuliza wanagindua mwanamke ni shida.

Unajua hata kama mwenzio ana makosa kuna mambo mawili unapaswa kuamua, umsamehe mtu au muachane Ila sio unaamua kununa tu, au unamnyima unyumba mwenza wako mwezi mzima sasa nae ni binadamu unataka akapate wapi? Au acheke na nani?
 
Kama mke wake angekuwa hana kasoro asingehama nyumba kwenda kwa changudoa. Huyo mke inaonekana ni ile type ya wanawake ambao ukimkosea husamehewi hata miezi 6 au mwaka yaani gubu tu. Kitendo cha kuchukua shada la maua na kutupa yaan ni anaroho mbaya hatari
Ulishawahi kuishi nyumba yenye mke mwenye makelele???
Unajuaje kama changudoa Katherine hajamroga, maana mademu wa kibongo hii ndiyo tabia yao.
 
R.I.P brother Romanus a.k.a Kuzula Omar Madoda. Case Closed and so do the thread.
 
Kama mke wake angekuwa hana kasoro asingehama nyumba kwenda kwa changudoa. Huyo mke inaonekana ni ile type ya wanawake ambao ukimkosea husamehewi hata miezi 6 au mwaka yaani gubu tu. Kitendo cha kuchukua shada la maua na kutupa yaan ni anaroho mbaya hatari
Ulishawahi kuishi nyumba yenye mke mwenye makelele???
Too much noise:p:p...
 
Back
Top Bottom