007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 478
Wenye akili timamu wote ...Tundu Lissu
Kinachomwangusha ni hali ya kiuchumi ya wanannchi. Watu wana hali ngumu sana, ukija kumwachia Lissu ,Zitto ,Membe waigawane tz kumwaga sumu ,babako anaweza kuambulia 20%Binafsi naamini tukiweka mapenzi/chuki pembeni bado Tundu Lissu hana kiwango cha kucheza ligi moja na Magufuli kwenye uchaguzi.
Kwa miaka yote mitano Magufuli pamoja na mambo mengine amepambana kuhakikisha anajiweka kwenye mind za ‘wapiga kura’ kiasi kwamba huwezi kuwaambia chochote kumharibia wakakuelewa.
Naongelea wapiga kura, sio sie wa JF tumejaa kelele tu lakini hatuwezi kusimama juani hata masaa mawili kumpigia kura Tundu Lissu.
Kwa uchaguzi free and fair Magufuli atashinda kwa 70%+ lakini kwakua fitna pia hazikosekani naamini atashinda kwa 85%+
Ikoje inapokuwa inachapishwa fomu moja tu ya mgombea uraisi?Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
Ngeleja Mwakyembe ni wasomi na hata Mwakyembe ana degree nne lakini wamegalagazwa huko kwao sembuse huyo Dada?Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
Hata Bungeni CCM huwategemea Musukuma na Livingston Lusinde kibajaji kuliko akina Mwakyembe wenye degree nneUnashangaa kura moja kwa Phd CDM lakini hushangai Phd za CCM kunyimwa hata fomu ya kutia nia!
Moja ni kubwa kuliko kupata 0Lakini hata hiyo moja aliyoipata si inatosha?
Naona hujapata like hata moja mpaka Mimi nakukwot that means hata wewe ni jinga tu.Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
Akina Kairuki hata Moshi mjini wa form two kawagaraza wenye PhD masters kibaoKamuulize Ngeleja kwanza wamebaragazwa na std vii wako wasomi wa kutosha kabla hujauliza kwa mtani wako.
Takukuruccm watasomewa Albadiri washinde wakihara mpaka mwakani haiwezekani waende kutengeneza kesi za kuifurahisha CCMHahahaaaa....... Takukuru lazima watembelee hapo Ufipa!
Kama mnampenda mchukueni kwa milioni 300 kama kina mtulia.Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.