ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,692
- 50,205
Kuna kitu huwa kinanichanganya na kunifikirisha
Mtu akiamua kugombea udiwani, ubunge au hata urais, je, huwa anatafuta kazi kama zilivyo kazi nyingine ili apate kipato cha kujihudumia yeye na familia yake?
Au huo ni uzalendo usiohusisha maslahi yoyote binafsi?
Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi ukimwona mwanasiasa anaendesha gari la kifahari au anaishi maisha mazuri, watu wengi hukimbilia kusema ameiba au ni fisadi
Lakini je, mwanasiasa haruhusiwi kuwa na good life?
Maana yupo kazini, analipwa mshahara na stahiki nyingine kama watumishi wengine
Au sisi kama jamii tunaamini kwamba mwanasiasa akionekana ana maisha mazuri, basi lazima kuna jambo lisilo sawa?
👇
NB: Mada hii ni kwa ajili ya mjadala na kubadilishana mawazo, kwa kuzingatia Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inayompa kila mtu haki ya kuwa na maoni na kueleza fikra zake kwa mujibu wa sheria
So ningependa maoni yasiyo na matusi ziwe hoja tu itapendeza
Karibuni kwa hoja
ShesRise_1 ✋️