Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
14,715
Reaction score
34,405
Mambo ya Malovee 😊

Sometimes watu walio penzini au kwenye ndoa hujikuta tu kwenye mtego wa cheating

Wengine huja na visingizio au sababu mbalimbali

Mwingine anasema, Sipewi hata nikiomba kwa chozi
😀 Basi anajikuta amecheat

Mwingine anasema, Mume haniridhishi
Akipiga kimoja cha kuku, anakoroma mpaka asubuhi🙄

Mwingine anasema,
Nilitaka kupata experience

Kuna rafiki yangu aliolewa akiwa bikra

Kadiri alivyokuwa akikaa na kusikia wanawake wakihadithiana mambo ya jigijigi, na ukizingatia mume alikuwa na maudhi, akaamua kutaka kupata experience huko nje

Japo anasema hakuna furaha yoyote aliyopata zaidi ya kujutia tu

Sasa wewe unadhani cheating inasaidia au inabomoa kabisa pale penye ufa?

Nini kilikufanya uka-cheat?

Unajutia?

Umeacha au bado unaendelea?

Huwa hujisikii vibaya ukimcheat wa ubani?

-Au hujawahi kabisa?

Friday night 🤗
ShesRise_1 ✋️
 
Shenziiiii zako
Unataka kusema je hebu sema simwambie mtu 🤪
Nimekoma.
Wacha nitoke zangu nikajipumzishe mahali na 🍷🍷😅😅😅maana tangu Jana nilikuwa na kazi nzito 😝

Natoka huku nikiwa nasikiliza huu wimbo hadi Moshi Pazuri.

[Hook]
Tunatumia pesa pesa pesa
Tulitafuta pesa pesa pesa
Tukazipata pesa!
Ah! tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
Aah tunatumia pesa pesa pesa
Tulitafuta pesa pesa pesa
Tukazipata pesa!
Eeh (let’s go!) tumekuja kutesa, kuimba na kucheza.

💃💃💃
 
Nimekoma.
Wacha nitoke zangu nikajipumzishe mahali na 🍷🍷😅😅😅maana tangu Jana nilikuwa na kazi nzito 😝
Wewe nakugawa mazima na sitaki nirudishiwe 😅😅😅🙌
Natoka huku nikiwa nasikiliza huu wimbo hadi Moshi Pazuri.

[Hook]
Tunatumia pesa pesa pesa
Tulitafuta pesa pesa pesa
Tukazipata pesa!
Ah! tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
Aah tunatumia pesa pesa pesa
Tulitafuta pesa pesa pesa
Tukazipata pesa!
Eeh (let’s go!) tumekuja kutesa, kuimba na kucheza.

💃💃💃
🔥🔥🔥🔥🔥 nimeelewa darling mambo ya dollars 😅
 
Mambo ya Malovee 😊

Sometimes watu walio penzini au kwenye ndoa hujikuta tu kwenye mtego wa cheating

Wengine huja na visingizio au sababu mbalimbali

Mwingine anasema, Sipewi hata nikiomba kwa chozi
😀 Basi anajikuta amecheat

Mwingine anasema, Mume haniridhishi
Akipiga kimoja cha kuku, anakoroma mpaka asubuhi🙄

Mwingine anasema,
Nilitaka kupata experience

Kuna rafiki yangu aliolewa akiwa bikra

Kadiri alivyokuwa akikaa na kusikia wanawake wakihadithiana mambo ya jigijigi, na ukizingatia mume alikuwa na maudhi, akaamua kutaka kupata experience huko nje

Japo anasema hakuna furaha yoyote aliyopata zaidi ya kujutia tu

Sasa wewe unadhani cheating inasaidia au inabomoa kabisa pale penye ufa?

Nini kilikufanya uka-cheat?

Unajutia?

Umeacha au bado unaendelea?

Huwa hujisikii vibaya ukimcheat wa ubani?

-Au hujawahi kabisa?

Friday night 🤗
ShesRise_1 ✋️
Dear daughter punguza masimango
 
Back
Top Bottom