Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hayo ndiyo mawazo kutoka kwa kiongozi aliye komaa kisiasa na aliye kubali kuwa rais wa watanzania.Riz1:
Baba mbona unasemwa vibaya na unatukanwa sana hadi kwenye mitandao na hauchukui hatua..??
Jk:
Mwanangu, katiba ya JMWT imempa Rais mamlaka makubwa sana. Sasa nikitaka kuwachukulia hatua nitafunga wangapi..!!
Maana hao wengine walikuwa kila siku wanatwambia kuwa urais ni mzigo mkubwa sana lkn ukifika uchaguzi wanenda kuchukua form.