Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Mchungaji tusimpe pesa tumuombee na yeye pia halafu tukae pale tusubirie miujiza ya wagalatia
 
Kama mama yako mzazi tu aligongwa akatolewa bikra kabla ya ndoa sembuse mke wa roma?
Hahaha sisi tunamkamua mkewe kiuhalisia wewe endelea kubwabwaja...bikra hata mama yako alishatolewa na mimi ndiye niliye mtoa hiyo bikra na nikamtelekeza na mimba ndio umezaliwa wewe
 
Hahaha sisi tunamkamua mkewe kiuhalisia wewe endelea kubwabwaja...bikra hata mama yako alishatolewa na mimi ndiye niliye mtoa hiyo bikra na nikamtelekeza na mimba ndio umezaliwa wewe
Mwanamke unawekaje mimba ?
 
Wakazi yupo sahihi

Nyimbo nyingi za Roma hazina mpangilio wa chorus na verses ni Kama unasikiliza nyimbo mbili tofauti kwenye battle.

Ukisikiliza nyimbo ya Roma verse yake bila chorus afu ukatudi kwa wakati mwingine ukaanza kusikiliza chorus tu unaweza ukadhani ni nyimbo nyingine tofauti.

Kiufupi nyimbo Kali kawachana Sana Wana siasa,may be wakazi kachukia sababu ni mtoto wa kwenye familia ya siasa.... jokes 😁
 
Wakazi yupo sahihi

Nyimbo nyingi za Roma hazina mpangilio wa chorus na verses ni Kama unasikiliza nyimbo mbili tofauti kwenye battle.

Ukisikiliza nyimbo ya Roma verse yake bila chorus afu ukatudi kwa wakati mwingine ukaanza kusikiliza chorus tu unaweza ukadhani ni nyimbo nyingine tofauti.

Kiufupi nyimbo Kali kawachana Sana Wana siasa,may be wakazi kachukia sababu ni mtoto wa kwenye familia ya siasa.... jokes [emoji16]

Nakuunga mkono Cute Msangi lakini rekebisha kwenye matumizi ya umoja na wingi,
Umoja - Wingi
Wimbo - Nyimbo
 
Tukihoji kuhusu kutekwa mnasema tunarudia agenda. Mbona Mama anarudia vilemba.
 
Wakazi wa mkoa gani tena wamesema wimbo wa Roma ni mbaya ?
 
Kuna time lazima usifie cha kwako/kwenu hayo ya kuja kukuta waliokuzidi urembo ni hadi hapo utakapokutana nao, vinginevyo chako/wewe utakuwa bora ulivyo.
Mkuu, kuwa Cha kwako haitoshi kuwa sababu pekee ya kukisifia. Hii ni kuhusu burudani, na kwenye burudani hatuangalii uzalendo, tunataka kuburudika.

Simaanishi Roma ni msanii mbaya, ila namaanisha mtazamo wako hauko sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom