Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,335
- 3,902
kwani viwanda vya Uganda vina uwezo wa kuuza Tanzania kea nini sisi hatuwezi kuuza Uganda, tutanunua kilo sh 3000 hadi lini? ije tu!
kungekuwa hakuna uhaba tungenunu kilo bukuSukari inaagizwa Tu pale kunapokuwa na upungufu ,Kama mpango ni kuua Viwanda vya ndani vya sukari Sawa labda wangesema kukiwa na upungufu wanunue Uganda ,
Muda sio mrefu wenye Viwanda vya ndani watalalamika
Sense and power are incompatible, antagonistic in tzAcha upumbavu na ushamba.
Unaita maamuzi ya Waziri nonsense Tena hadharani.
Jaribu kuwa siriaz basi.
Soma vizuri mada na uielewe.Haina maana kununua sukari bei juu kwa maelezo kwamba tunalinda wazalishaji wa ndani,hii ndio nonsense yenyewe.
Kulinda uzembe na ukiritimba ni upuuzi.
asipokiri nasikia dhambi ina tabia ya kutambaa kama yalivyo majani ya maboga.Mimi nasubiri tu Mama akiri dhambi hizi....am
Risasi kwa TL
MDUDE
MAWAZO
Saa 8
KUNUNUA akina WaItaRa....
Aquiline AQUELINA
AZORY
Etc...
Zipo nyingi. Akiri tu na Roho yangu itulie.TUANZE UPYA.
Siyo rahisi mawaziri wa ki-Tz kujiuzulu hata angetukanwa tusi la wazi kabisa. Ujasiri huo hamnaga bongo ugali amwachie nani!Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Hapana, nimejaribu kijizuia vimeshindikana. Huyu huwa namfikiria Kama mtu mzima mwenye busara kubwa au kijana mwenye busara, Sasa ananijibu matusi. Nikashindwa. Yameisha tusinge mbele tumtetee Mbowe asionewaPiganeni
ni kweli kabisa it seems there is lack of communication among them. inawezekana hata hawakuelewana wao au sisi hatujawaelewa!!!Profesa Mkenda Yuko sahihi 100%! Sukari iagizwe pale panapokuwa na nakisi Kati ya demand na local capacity of production, sio kuagiza tu kama mazoea kwani Hilo linauwa wazalishaji wa ndani!
SSH anong'onezwe, hapo kabugi!
Kamanda Pitia Manyara Raha upate Safari Moja nakuja punde!CCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara
Kama mama yako
Jifunze kujibu kwa staha, ukitukana nitakutukana, potelea mbali
Wa afya ndie mcharuko kabisaaaaaa!Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
Bogass tu. Ukiona mtu anawabwaga ma Phd wazalendo anaweka wajuzi wa kupiga hela ya umma lazima ustaajabu. Sasa kama hakujawepo haja ya kuagiza sukari nje waziri aruhusu tu? Na mama kwa kua Museveni kaja basi ni nonsense waziri hajaruhusu kuagizwa sukari uganda. Naona hakika mama anaanza kujidhihirisha uwezo wake mdogo kuliongoza taifa letu. Au labda anatafuta kumtimua Phd aweke watu wake wajuzi wa kupiga hela ya umma.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Halafu jiulize hiyo sukari inapitia bandari ipi ndiyo utapata jibu la akili za watawala wetuMuseveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiagize kutoka Brazil, hangaya anafeli sana
Asilimia kidogo tu ya mizigo ya Uganda inapitia bandari ya Dar. Asilimia kubwa inapitia MombasaBro ni vizuri pia ujue kuwa Uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba Tanzania, hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite Kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za Tanzania badala ya za Kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani
Tetetete nipo EndaksoKamanda Pitia Manyara Raha upate Safari Moja nakuja punde!
A mistake that makes us Humble, is Better than an achievement that makes us Arrogant.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Ulisikia wapi wanasiasa wa Bongo wakikosea wanaomba radhi? Ulisikia wapi?Binafsi nimesikitika sana na kauli iliyotolewa. Inawezekana haikuwa nia yake ila alijisahau. Kati ya Mawaziri mahiri na wazalendo ni Mhe. Professa Adolf Mkenda. Nashauri atamke kuwa alipitiwa.
Iagizwe haraka sana, sukari hakuna na viwanda vyetu havitoshelezi, sukari kwanza mengine baadaye, hatuwezi kusubiri solution za rushwa zenu za vibali na viwanda vibovu kunywa chai na maandazi yetuKuna mambo mengine yanahitaji decision promptly.
Lakini sielewi hapa mnataka sukari iagizwe?!? isiagizwe?
Bro ni vizuri pia ujue kuwa Uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba Tanzania, hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite Kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za Tanzania badala ya za Kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani