Hivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? Sijasikia zile kelele muda mrefu.

Rais wetu naona kama amekubali kutumiwa na Museveni nae akatumika, kama Museveni ana sukari nyingi kwake haina soko ameona aje kulitafuta huku na sisi badala ya kujiuliza kama tunaihitaji naona tumekimbilia kukubali ombi tu ili kukuza urafiki na majirani.

Suala la kuita msimamo wa waziri wake Nonsense tena public nalo nalipinga, kama alikerwa na huo msimamo ana kila nafasi na kuonana na waziri wake na kumweleza aliyonayo, sio kumsubiri Museveni aje ndio anamnange mbele za watu, hizi ni tabia typical za kike - umbea.
Wizara na wataalam wao wataacha kutoa maamuzi ya kitaalam na kumuacha Mwenyewe Hangaya aamue kila kitu na akishindwa tusimlaumu waziri husika.
 
Mara baada tu ya hiyo kauli yake ningejiudhulu pas na kujali lolote. Nothing more nothing less!
 
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.

Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.

Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.

Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.

Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.

Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.

Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?

All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Ajiuzulu ale kwako? Hapa Ni Tumbo Kama Polepole kiongozi wa matumbo
 
Wengi mnapenda kuandika bila kuelewa, sera na Sheria zipo wazi. Kulinda viwanda vya ndani sukari inapaswa kuagizwa endapo kuna upungufu na waagizaji wanapaswa kuwa viwanda na sio wafanyabiashara.
Waziri ndio kasimamia hapo, raisi yeye anataka iagizwe vyovyote vile.
Sijaona kosa la waziri
Waziri ni Prof, Maza Ana Elimu gani?
 
Juzi kati nilikutana na vijana wale wa dampo wazungusha mchele kwa wafuga kuku mtaani, uko kwenye viroba vimeshonwa vizuri ila ume expire!

Kuangalia kile kiroba kimeandikwa Pakistani

Yani hebu imagine hii nchi tunaagiza mchele toka pakistani?

Hii ni laana ama nini?
CCM mbele kwa mbele 🤣 🤣 🤣
 
Bro ni vizuri pia ujue kuwa Uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba Tanzania, hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite Kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za Tanzania badala ya za Kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani
Umenena kiukweli mkuu lakini vizuri hata mh Rais angweka hizi arguments on board badala ya slivyo ita nonsense.
 
Kabisa, kuna mengine wangemalizana ofisi, na siyo kuyaleta public!
Mzee hii kitu ni kama dili la wakubwa. Haiwezekani viwanda vyetu vituuzie sukari kwa bei ghali kuliko Zanzibar au Burundi au Uganda. Hivi hawa wengine wanatumia teknolojia gani mpaka wauze kwa bei ya chini kwa mlaji? Hii kitu inatia maudhi sana, kuna kitu hakieleweki na wala hakielezeki.
 
Juzi kati nilikutana na vijana wale wa dampo wazungusha mchele kwa wafuga kuku mtaani, uko kwenye viroba vimeshonwa vizuri ila ume expire!

Kuangalia kile kiroba kimeandikwa Pakistani

Yani hebu imagine hii nchi tunaagiza mchele toka pakistani?

Hii ni laana ama nini?
Laana na inasababishwa na watu wasio na uwezo wa CCM wanaoitwa viongozi.
 
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.

Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.

Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.

Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.

Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.

Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.

Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?

All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Haina maana kununua sukari bei juu kwa maelezo kwamba tunalinda wazalishaji wa ndani,hii ndio nonsense yenyewe.

Kulinda uzembe na ukiritimba ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom