Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,718
Jf ni ya kutunza sana, hapa kuweka app kwenye simu sio salama,
Kwahyo asishangae kuona mama yake anatumia jamii africaExactly 💯
Kutumia huu mtandao bila kujulikana kuna raha yake MkuuMimi huwa natumia popopote pale siogopi kitu Kuna demu nae alikuwaga anapiga jicho akaona Id yangu akaaanza kusema kumbe wewe ndio Vincenzo 😀😀
Kuna ubaya gani mkuu tuelimishe na sisiMkuu sasa kwa hali ya humu jf kweli bi mdashi et awe ana log in...
Imagine tuu
Hii hapana sitaki iwe hvo mkuu
Bro kuna nini hapa 😁Kwako ni mama kwetu ni bro Evelyn Salt 🏃🏃
Kumbe una ID mbili, moja ya kutangazia ajira Kwa jobless na ya pili ni hii eehNikiwa maeneo ya karibu na watu huwa natumia ile ID yangu nyingine ila nikiwa alone natumia hii ya kubwa la maadui mr machale.
Namkaribisha. Karibu Mama yetuWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Sasa si kuna mada zinatrend unaziona tu, mbona Mimi na huu umri wangu ila bado nazionaga mada zako hizo😅😅😅Usinitishe mkuu...
Kwanza sizani kama mada zangu anaonga yaani yeye na umri wake aanze fatilia nyuzi zangu za kusifia mishangzi are we real
Hatari sana 🤣🤣🤣😂Mtoto wa bata ni bata tu jinsi wewe ulivyo ,hata wazazi wako ndivyo walivyo, ukute hata I'd yake ni hii ya Mshangazi dot com
Mbona natajwa sana jamani 🤣🤣🤣 kwani naandikaga maajabu gani humu 🤭
Yani sijui itakuwaje 🤣🤣🤣🤣Unaweza kukuta ame subscribe Uzi wa ulishawahi kula tunda kimasihara?
Halafu unakuta inbox amechat gazeti na mwamba kama mzabzab . Au bi mkubwa ndio Mshangazi dot com ?
Mkuu mbona watu wazima tupo wengi tu.Mkuu sasa kwa hali ya humu jf kweli bi mdashi et awe ana log in...
Imagine tuu
Hii hapana sitaki iwe hvo mkuu
Weweeee!Mbona natajwa sana jamani 🤣🤣🤣 kwani naandikaga maajabu gani humu 🤭
Mwanangu haujamboBado hatuja confirm kama yupo humu mkuu
YAKUZZZZMwanangu haujambo
Kwahiyo bi mkubwa huwa anamsoma jamaa anavotuita whatsapp atutapeli kwa kutupa njia za utajiri.Ungeangalia id yake jf , mara paap kumbe ni Evelyn Salt