LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
Mzee mjanja 😅😅Ndiyo maana binafsi tangu nimeanza kuitumia JF tangu ikiitwa Jambo Forum, sijawahi kuifungua mbele za watu achilia mbali ku-download App yake
Kuna Siku nilikuwa nasafiri kwa basi kutoka Dodoma kuja DSM kabla ya SGR, kutokana na addiction ya kutumia JF nikajikuta nime-Login.
Nilikuwa nimekaa na binti fulani around 27-32 hivi, Baada ya kuona yupo busy kutaka kujua ID niliyokuwa naitumia ikabidi haraka ni-Logout
Hachelewi kuja kusema humu amekutana na Mzee Grahams bure, na hivi ninavyotumia mkongojo kutembea 😜
😂😂😂😂😂😂😂😂Wewe kazana na Yavuzi Yavuzi zako ipo siku Uganga wako huko PM utakutana na mteja mnaepishana mlango mmoja.
Wizo ntakubamiza komweeeUnashangaa huyo mama ako ni wizo BICHWA KOMWE - 😹😹😹
Tena mnaitana babe 🤣
Na mko busy ku discuss vinyeo awwwh 😹
Tatizo wewe huku Jf una wanawake wengi. Naogopa fumaniziKutalii hautaki tunaenda na ndege au hautaki 😎
Mtoto wako Poor Brain kafuta app yako kwenye simu, idownload tena mamaMbona natajwa sana jamani 🤣🤣🤣 kwani naandikaga maajabu gani humu ðŸ¤
Weka nyeusi hizi ninezipepeta hazina maajabu
Kume anza kuchangamka ngoja waje alooh
Evelyn ni mkorofiMtoto wako Poor Brain kafuta app yako kwenye simu, idownload tena mama
Usifanye hivyoMama poor brain popote ulipo mwanao keshakupekua badili ID
Mzee nilijua mambi ya hovyo ushaachaKutumia huu mtandao bila kujulikana kuna raha yake Mkuu
Imagine unairushia vocal PisiKali ambayo unadate nayo huko Mtaani lakini kupitia ID yake ya humu unajikuta unaiomba tena 😜
Vijana mna hatari nyie balaa 😅
😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Et weww bi mdashi..Yani sijui itakuwaje 🤣🤣🤣🤣
Ngoja nisiseme mengi ðŸ¤
Wee jamaa hovyo sana..Mkuu mbona watu wazima tupo wengi tu.
I bet huyo bi mkubwa hanipati umri mimi.
Kwahiyo watu wazima wenzake tupo.
We mtoto mimi 1957 uhuru nimeushuhudiaWee jamaa hovyo sana..
Mi bi mdashi age go acha zako weww
Daaah ev mi sio tapeli hiyo ishu ya yakuz na yavuz mbona nilishaweka mpaka mashart hukuKwahiyo bi mkubwa huwa anamsoma jamaa anavotuita whatsapp atutapeli kwa kutupa njia za utajiri.
Anamsoma na anavojifanya mchawi wa yavuz yakuz
Poor Brain
Acha uwongo...We mtoto mimi 1957 uhuru nimeushuhudia