Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,849
- Thread starter
- #101
We mkuu kuwa na adabu..Tena yupo MMU
Anafata nini huko
We mkuu kuwa na adabu..Tena yupo MMU
Au ndo yule aliyesema yy ni tajiri wa kwanxa dunianiWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
😂😂😂😂😂😂😂 Weee siwezi kuwa na mama kama huyo mkuu ebu jiheshimuAu ndo yule aliyesema yy ni tajiri wa kwanxa duniani
Si ndio hapo nini cha ajabu , sijmuelewa kwa kweli huyo jamaa .Sasa mamako kutumia jf kuna shida gani mkuu?
Au unamuona hana upeo wa kuchangia!
Ni ajbu kwa bi mkubwa mkuu..Si ndio hapo nini cha ajabu , sijmuelewa kwa kweli huyo jamaa .
Kwani mtu kutumia jf ni jambo la ajabu
Mkuu umeona eeeh sasa hapa unapata picha harisi humu ndani tuwe makini..Nilikuwa nimekaa kwenye siti moja na jemba mara nikafungua app yangu penda ya jf jembaa ikaikodolea wee mara ikacheka huku ikisema kumbe ni wewe. Tukacheka nikamuuliza wewe unatumia ID ipi hakutaja jemba ilidai haina acc ila iko humu daily tulicheka sana
Duh! Ulikuwa unakomenti, hadi ikaonekana auNilikuwa nimekaa kwenye siti moja na jemba mara nikafungua app yangu penda ya jf jembaa ikaikodolea wee mara ikacheka huku ikisema kumbe ni wewe. Tukacheka nikamuuliza wewe unatumia ID ipi hakutaja jemba ilidai haina acc ila iko humu daily tulicheka sana
Vipi hivoKuna vitu unakulaga ukiwa umejificha wewe sio bure
😆 noma sanaNa alishiriki kukomenti ule uzi wake wa mambo ya kinondoni😂😂😂
Dogo mi najiheshimu humu jukwaani, hata hivyo na mimi ni mmoja wa watu wazima ambao jamaa anazungumziaMkuu sawa wapo watu wengi tu..
Ndo mama angu awepo mkuu just imagine et anasomaga nyuzi za Vishu Mtata
Mimi wala sikujari maana sijawahi kwazana na mtu humu kiasi cha kujificha sana...sema akiwa kwenye circle yako halafu mfahamiane uhuru unakosekana kifuatacho ni kubali ID tuMkuu umeona eeeh sasa hapa unapata picha harisi humu ndani tuwe makini..
Kuna siku niliwahi vamiana na shangazi an shangz kabisa na akawa ananisema live live ila ndo hv ilishapita
Huyo huyoWe jamaa nusrat si yule ameweka picha ya mdada sijui ana makalio...
Sizani mkuuDuh! unakuta ukoo mzima upo JF!